Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

Yule miaka mitano huyu ndio mwaka tu unatalka walingane!!!!!!................
Yule: Mwaka wa kwanza alifukuza wajinga wajinga ambao walikuwa wanafanya mazoea ya kijinga kazini, vyeti feki ambao unqualified for the positions na kufuta
safari na posho za kulipana kimchongo.

Huyu: Mwaka wa kwanza kukopa trillion kila mwezi na hela yeyote ya msaada. Kurudisha mafisadi wote kwenye nafasi za juu za
serikalini. Kuruhusu utaratibu wa kulipana posho kimchongo.
 
Tusiwafanye watumishi kuwa mazuzu na vyama vya wafanyakazi wasiburuzwe kizembe!

Binafsi mkewangu aliye mwalimu kaongezwa 3.7% ya mshahara wake sasa waeleze ukweli sio blah blah za kisiasa kutafuta masifa yasiyo stahili. Nchi za wenzetu walitangaziwa percentage ya nyongeza na ikatimizwa bila makelele sisi wanasiasa wanawazuga watumishi nakuleta janjajanja na maneno meeengi kisa nini!!! Kwanini nchi hii inaujinga mwiiingi? WHY?

Serikali iwe open na ifanye kazi kisomi na kistaarabu bila hila.
Swali, mishahara imeongezwa kwa asilimia ngapi?

Kama viongozi serikalini nao hawajui waseme waache kudanganya wafanyakazi kama watoto!!
Kama kipindi marehemu anaumwa mtu huyu alijitokeza na kudanganya wananchi kuwa haumwi yuko kazini mpaka kifo kilipowaumbua atashindwa nini kudanganya wafanyakazi kuhusu mishahara??? Sijawahi kumuamini huyu katelephone!! Aende akadanganye watoto wake, wafanyakazi ni wasomi na welewa kuliko yeye...SHAME!! asifanye tumwite MR. BIG LIER
Ccm mbere kwa mbere
 
Kwa nini asishukuru ikiwa kapata nyongeza hiyo ndani ya miezi 12 tu tangu apandishwe madaraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi hata miaka 5 ni sawa na miezi mingapi?Huyo mfanyakazi alipanda cheo chake cha mwisho 2016 akaahirishiwa akapewa 2017.Je,hiyo ni sawa na miezi 12?
Tuache dhihaka dhidi ya wafanyakazi na wajenzi wa nchi hii.
Hoja niliyoleta ina vipengele vingi;
i:Asilimia ya nyongeza =2.4%.
ii:Makato 37% ya nyongeza.
iii:Huyu mfanyakazi amekaribia kustaafu na wakati huo ukiwadia unamlipa kwa mkupuo 33.3%.
iv:Anakutana na Tozo afanyapo miamala Benki.
v:Akinunua bidhaa anakuta VAT 18%.
vi:Akisafiri nauli zimepanda na akienda kununua chochote bei=>60% ya zile za 2017.
Hapo na penyewe ashukuru?Je,kufanya kazi za ajira ni tofauti na utumwa hapa Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar?
Unategemea huyu mfanyakazi ataacha kupokea Rushwa?
 
Yule: Mwaka wa kwanza alifukuza wajinga wajinga ambao walikuwa wanafanya mazoea ya kijinga kazini, vyeti feki ambao unqualified for the positions na kufuta
safari na posho za kulipana kimchongo.
Mwinyi hakumuiga Nyerere..
Mkapa hakumuiga Mwinyi..
Kikwetu hakumuiga Mkapa..
Magufuli hakumuiga Kikwete..
Samia hamuigi Magufuli..
KILA KIONGOZI NA STAILI YAKE..
 
Sasa aliekudanganya kuhusu mshahara humjui au unajitoa akili tu.

Fanya kazi acha kumtegemea mke apandishiwe mshahara ili ukakope kupitia mshahara wake.Ujanja ujanja tu

Punguza dharau, Kama wewe umeshiba usilazimishe wengine wawe Kama wewe.
 
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%

Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.

Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
 

Attachments

  • 3D0C348C-EC13-4EC6-A303-6291AB48582D.jpeg
    3D0C348C-EC13-4EC6-A303-6291AB48582D.jpeg
    77.9 KB · Views: 2
Mwinyi hakumuiga Nyerere..
Mkapa hakumuiga Mwinyi..
Kikwetu hakumuiga Mkapa..
Magufuli hakumuiga Kikwete..
Samia hamuigi Magufuli..
KILA KIONGOZI NA STAILI YAKE..
Staili inaweza kuwa mbuzi kagoma na hapo ndio tatizo linakoanzia
 
Nyongeza ya 23 % ililenga kima cha chini tu, hili ndilo halikueleweka na wengi.
Mbwembwe zote na kupongezwa Mama kuupiga mwingi ndiyo hiyo Tsh 90,000 kwa kima cha chini Tshs 270,000?.
Majaliwa anaweza kutumia hicho kiasi kwa saa ngapi/siku nga za mwezi?
Tuache dhihaka kwa wafanyakazi wetu.
 
Sasa je ndiyo imeisha au tuwasubiri Tucta?[emoji1787][emoji1787]
Ishaisha hivyo, wabongo tunalalamika kwa 110% ila vitendo hamna.

Mambo mengi ya kipuuzi yanaletwa kutukandamiza na hii serikali ila tukilalamika siku mbili tatu, tunasahau na maisha yanaendelea.

Huu udhaifu wanasiasa/viongozi wanaujua ndio maana wanaona kawaida kufanya wanalotaka
 
Nasubiri tamko la pongezi la mama kujali wanyonge la UVCCM
 
Wewe unata Rais afanye nini katika kuondoa mfumuko wa bei nchini ikiwa asimilia 50% ya vitu vinatoka nje ya nchi na wakati huo gharama ya usafirishaji wa mizingo kwa njia ya bahari imepanda kwa zaidi ya Mara 2?.
Ulitaka Rais afanyeje katika kushusha bei ya vyakula nchi ikiwa nchi ilikumbwa na ukame na kusababisha mazao kufia shambani?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama hawezi kufanya lolote atoke awape wengine nafasi ya kufanya. Ni ujinga kudhani akishindwa Samia wote tumeshindwa.
 
Kuhusu walimu kulalama kuingezewa mishahara kwa kweli Sina huruma nao...hakuna watu wa hovyo Kama walimu..tumefika hapa kutokana na walimu kuwasaidia CCM kwenye chaguzi zao..
 
Kuhusu walimu kulalama kuingezewa mishahara kwa kweli Sina huruma nao...hakuna watu wa hovyo Kama walimu..tumefika hapa kutokana na walimu kuwasaidia CCM kwenye chaguzi zao..
Ulitaka wawasaidie wakina nani?acha wailalamikie serikali yao hujjalalamikiwa ww unaekaa kwa shemej
 
Back
Top Bottom