ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Kmmayo weweJina jingine kinaitwa CHADOMO!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kmmayo weweJina jingine kinaitwa CHADOMO!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo anatuambia kwamba walokuwa wanalalamikia nyongeza ndogo ya mishahara ni mawaziri siyo? Hovyo kabisa
We jamaa ni mtumishi w umma au unaongea tu tubishane hapa.
Kwenye utumishi wa umma Kuna kitu kinaitwa increments ambayo hata rais asipoongeza mshahara wafanyakazi wote wanapata na ndio inavusha mfanyakazi kutoka scale moja kwenda nyingine...
Hiyo ndio inafanya mtu anayeanza kazi leo awe tofauti na aliyeanza miaka mitatu...
Waliacha kuitekeleza toka wakati wa Magu...
Na ni pesa nono sana kulingana na mshahara wako watu wanakunja mpk laki huko.
Kwa hiyo inngepaswa hili ongezeko ndani yake iwepo na increment yaani increment+ongezeko haingekuwa elfu 12 hata kidogo.
Increment ni ongezeko la mwaka ambalo mtumishi anapaewa kupata hata kama rais hajaongeza mishahara..
Na huwa inakuwa inaandikwa kwenye offer letter right from the beginning unapopata cheo Fulani.
Hii ndio inamfanya mfanyakazi anayeanza kazi leo atofautiane mshahara na yule alieanza miaka mitatu iliyopita.
Kwa hiyo ongezeko hili lilipawa kuwa ni increment+ ongezeko isingekiwa elfu 12 hata kidogo.
Tatizo wee si mtumishi wa umma hatutaelewana
Mr Pm miaka iliyopita serkali si ni ile ile?Hata hivyo wafanyakazi wamapasa kushukuruWaziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Sijauliza mshahara wa mwenye bara au maharage, jibu swali nililoulizaWewe ukitaka mwenye baa apangiwe mshahara wa wafanyakazi wake na serikali?
Mnaonaje na wanasiasa wapewe mishahara kulingana na kiwango Chao cha elimu aliyonayo?hata Kama anacheo gani serikali ili heshima iwepo na tuache kuwaumiza zaidi walipa Kodi wazalendo wa Nchi ? maana wanasiasa Sina hakika Kama Kodi inakatwa kwenye mishahara yao!Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Uwezo wa huyu waziri mkuu ni mdogo mno.Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Hiyo ndiyo imesababisha inflation,,,,,,,,,,,Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Ngoja nikuulize hivi, increment kwa kiswahili ni nn?We jamaa ni mtumishi w umma au unaongea tu tubishane hapa.
Kwenye utumishi wa umma Kuna kitu kinaitwa increments ambayo hata rais asipoongeza mshahara wafanyakazi wote wanapata na ndio inavusha mfanyakazi kutoka scale moja kwenda nyingine...
Hiyo ndio inafanya mtu anayeanza kazi leo awe tofauti na aliyeanza miaka mitatu...
Waliacha kuitekeleza toka wakati wa Magu...
Na ni pesa nono sana kulingana na mshahara wako watu wanakunja mpk laki huko.
Kwa hiyo inngepaswa hili ongezeko ndani yake iwepo na increment yaani increment+ongezeko haingekuwa elfu 12 hata kidogo.
Increment ni ongezeko la mwaka ambalo mtumishi anapaewa kupata hata kama rais hajaongeza mishahara..
Na huwa inakuwa inaandikwa kwenye offer letter right from the beginning unapopata cheo Fulani.
Hii ndio inamfanya mfanyakazi anayeanza kazi leo atofautiane mshahara na yule alieanza miaka mitatu iliyopita.
Kwa hiyo ongezeko hili lilipawa kuwa ni increment+ ongezeko isingekiwa elfu 12 hata kidogo.
Tatizo wee si mtumishi wa umma hatutaelewana
Hujui unachozungumza alafu unaongea kwa confidence.Ndio hao wameongezewa hiyo asilimia 23.3 katika mishahara yao wanaolalamika wengi ni kuanzia TGS E. Pia imekuwa kinyume wakati mwendazake anapunguza kodi hao wenye mshahara wa TGS F walikutana na ongezeko la 40k ila mwenye kima cha chini alikutana na elfu 10 sasa wao kipindi hichi wamekutana na TGS F wamekutana na ongezeko la elfu 10 wakati wakima cha chini kakutana na ongezeko la zaidi ya elfu 70 imekuwa nongwa kila mwamba ngoma uvutia kwake
Inasikitisha sana wengi kuona kama nyongeza ya mishahara ni hisani.Ukiajiri lazima ulipe ujira stahili kwa waajiriwa kulingana na makubaliano.Hivyo Serikali na waajiri wote,ni wajibu wenu kuongeza na kulipa mishahara ya wafanyakazi wenu na muache longo longo.Ongezeko la mishahara lazima liendane na hali halisi ya uchumi wa nchi, tusije kuishia kujilipa mishahara huku tukishindwa kutekeleza majukumu mengine ya kimaendeleo.
Hilo ongezeko ndio ambalo Mh Rais aliwaahidi Wafanyakazi ? Majaliwa tangu aliposema Magufuli ni Mzima na anachapa kazi nani atamuamini tena ?Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Usihangaike na vichaaSasa hii hoja Yako Ina mahusiano Gani na kauli ya waziri mkuu?sometimes kuweka siasa kwenye Kila jambo ni too harmful.
Hiyo miaka kadhaa inafidiwaje katika utumishi wa wafanyakazi?Siku hazigandi,kila mfanyakazi anayo tarehe yake ya kustaafu. Hivi PM anapotuambia mawaziri wameongezewa hadi 0.02% anamaana gani?Waziri analipwa Tsh ngapi ili tufanye hesabu?Usikute hiyo 0.02% ni milioni kadhaa.Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%