Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

why should we believe that now?


population ya dunia nzima nia around 7 to 8 billion unaposema watu 3.9 to 4 billion unamaanisha half of the world population walikuwa wakitazama ukitoa wagonjwa waliomahututi dunia nzima , watoto below 7 years tuki assume hawamiliki nyenzo za ku stream haya matukio na vikongwe vilivolala visivyojiweza tunaweza weka watu wenye afya dunia nzima more than 70 percent walikuwa wanafuatilia

N.B fifa world cup mwaka 2018 ilikuwa streamed na watu takribani 1.1 billion yani imezidi fainali ya kombe la dunia?
 
Sikuwa mmoja wao.
 
Magufuli aliwashika hasa, mpaka katika hali ya umauti wanamsifia na kumwogopa!
 
Ni kweli, walikuwa wanashukudia ubabe wa korona! Dunia nzima inatetemeshwa, yeye ndio anatunisha misuli, mbele ya korona?!
 
Mkuu nyumba za ibada ni sehemu takatifu, ukisema uwongo Mungu anakuona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maadui wamejua Magufuli sio saizi yao watanzania wamewaonyesha kuna viongozi na kiongozi huyu alikuwa kiongozi wa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…