Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Mulamula.jpg
 
Source: ITV
Aise kwani si tulikuwa na mpango wa kuwa na kiwanda cha kuunda magari na sisi. Ni kwamba ni gharama sana au. Nchi hii yaani waziri mzima anaona raha kuagiza gari kutoka Rwanda wakati tungeweza na sisi unda ya kwetu tukatumia ya nyumbani. Anyway Mungu anihurumie. Tuna viongozi wa ajabu sana yaani
 
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Source: ITV
Mi nafikiri ni kutengeneza.
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Source: ITV
MIE NILIDHANI TUTAANZA KUTENGENEZA na SISI MAGARI YETU tuna MIAKA 60 ya UHURU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama
Nenda Burundi
 
Back
Top Bottom