Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama

Mkuu. Rwanda. Burundi. Uganda. Kenya. Nk. Nenda wahi napemaaaaaa. Utarudi ghafla. Nje ya hi
 
Sio lazima kiletwe mkuu, hakuwezikuwa na viwanda vya vw karibu hivi. Cha msingi wasiweke ma kodi yao ya hovyo tu maana member wanaonunua magari wanadai kodi ipo juu mno
Tatizo hatuoni the bigger picture hapa. Haya ni mambo ya aibu, sio ya kusema kwa nguvu. Inawezekana vipi nchi ambayo mwaka 1994 walichinjana kama kuku, leo tunaenda ku-import magari kutoka kwao!! That is my point, we should be ashamed of ourselves.
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Kweli JPM alikuwa kiboko, hawa watu sijui huwa wanapewa vipi hizi position, badala ya kuhamasisha high tech hapa nyumbani, mavyuo yanamwaga mechanical engineer lukuki wakiwemo automobile engineering, toka miaka ya 60 leo 2021 lakini hakuna hata bodaboda inayotengenezwa hapa bongo, siasa mbele kwa mbele
 
Nonsense, nilijua wanaleta kiwanda hapa TZ
Hii nchi imekosa vision kabisa,yaani badala ya Rwanda kutumia resources zake kuja Tanzania kutangaza fursa ya soko la magari yanayotengenezwa nchi mwake,Tanzania ndiyo inayoingia gharama za walipa kodi wake kwenda kuitangazia Rwanda soko,Kiufupi viongozi wetu inawezekana hawajuai wanachofanya.
 
Tatizo hatuoni the bigger picture hapa. Haya ni mambo ya aibu, sio ya kusema kwa nguvu. Inawezekana vipi nchi ambayo mwaka 1994 walichinjana kama kuku, leo tunaenda ku-import magari kutoka kwao!! That is my point, we should be ashamed of ourselves.
Tatizo lilichangiwa pia na Nyerere, kina mwinyi na mkapa wamekuta nchi ipo hoi ndio mana yanatokea haya kwa mfano unaambiwa wakati wa Nyerere na mwinyi mwanzoni kununua gari ilikua mpaka kibali upate ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama
Umelaaniwa wewe sie tuko vizuri, Waziri kusema tutanunua gari kutoka Rwanda imekuwa nongwa? Yani uko tayari tununue kutoka Japan ila sio kwa majirani zetu ambao nao wanatuungisha kutumia bandari yetu.
 
Acha upopoma wewe..hivi hii nchi imepata uhuru miaka 60 sasa..hatujawa na vita kubwa mbaya..tumeishi kwa amani na utulivu..leo hii kanchi kadogo kama rwanda ambako kame struggle kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe leo hii kana resemble magari na simu..wakati almost kila kitu wanategemea kwetu..wewe unaona ni sawa hii..ama sio laana katika nchi hii hasa viongozi...hii nchi imelaaniwa acha kujitia ujinga boya wewe.

Kwahio kutonunua kwao kutaondoa wao kutengeneza magari? Halafu unaposema miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita mbaya, unajua kuwa Tz imepigana vita mbaya 1978? Unajua kuwa Tz imepigana vita kuzikomboa nchi za Kusini mwa Afrika? Utakuwa umezaliwa 90s wewe sio bure.
 
Haikuwahi suffer kama rwanda..tz imelaaniwa..viongozi wanawaza kuua upinzani na sio kufanya maendeleo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hatuna shida ya kununua magari kutoka Rwanda,hata kutoka japani na kwingineko bei ni ndogo tunaweza tatizo kodi za ajabu bandarini.

Labda tuanzisha kiwanda hapa
IST inakusshinda utaweza VW
 
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama
Ushapewa uelekeo. Ni Burundi mkuu..
 
Back
Top Bottom