Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilipoteza dictator sio raise!Tanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Si mlimpiga vita ambaye alitaka tuwazidi Rwanda?Tanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Nani aje kuwekeza kwenye nchi inayoongozwa na watu wasiyojielewa?Nonsense, nilijua wanaleta kiwanda hapa TZ
Bongo maneno mengi,siasa,usaniiii mwingiTanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Yule aliesema tutawapelekea Wazungu na sisi mitumba yetuTanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Sema yy ndio ataanza kununua gari mpya Rwanda brand new......Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Na kibaya hatujapata rais mwengine bado tuna makamu wa rais tu hadi sasa.Tanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Sisi tuna kiwanda chetu cha kutengeneza magari, acha hicho cha kuunganisha. Hukumwona prof. Mkumbo alipokuwa anazindua? Kiwanda chetu kile kinatengeneza magari yanayotumia engine ya punda au ng'ombe. Hakuna haja ya mafuta. Huoni huo ni ugunduzi wa hali ya juu?MIE NILIDHANI TUTAANZA KUTENGENEZA na SISI MAGARI YETU tuna MIAKA 60 ya UHURU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamia Zanzibar mkuu. [emoji41]Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.
#MaendeleoHayanaChama
Sisi tunatengeneza magari ya Nyumbu pale kibaha!
😁Uelekeo gani tena situliambiwa twende Burundi?Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.
#MaendeleoHayanaChama