JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Ametuachia ndege yoo.Magufuli baba umelala yoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametuachia ndege yoo.Magufuli baba umelala yoo
Rais ambaye alitaka kuua uchumi wa nchiTanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Huo ni upumbavu na pumba kabisa, mi nilijua watasema wataimport technology ya kutengeneza magari kutoka Rwanda, but kirahisi uku akismile anasema watakuwa wananunua magari Duuh aibu Gani hii.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Ni kweli, lakini tunakaribia miaka 40 tangu Nyerere atoke madarakani.... tumuache apumzike.Tatizo lilichangiwa pia na Nyerere, kina mwinyi na mkapa wamekuta nchi ipo hoi ndio mana yanatokea haya kwa mfano unaambiwa wakati wa Nyerere na mwinyi mwanzoni kununua gari ilikua mpaka kibali upate ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.
#MaendeleoHayanaChama
Tanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Marehemu Mengi alikua na mpango mkakati wa kujenga kiwanda cha magari pale Kibaha na tayari hatua za awali zilishanza nadhani ni suala la wahusika kuresume mpango ule.
Kuna ka ukweli flani kwenye maneno yako!Huyu Mulamula kama anatokea huko huko kwa muonekano wake tu.
Basi wakati sisi tunanunua VW kutoka Rwanda, Tanzania itawauzia Rwanda gari zetu zile Nyumbu!!
Hapa kwetu Tanzania adui yetu mkubwa ni CCM. Hao ni zao la hilo Dubwana linalojificha nyuma ya Katiba mbaya tuliyonayo.Nao wanafahamu fika hilo na ndiyo maana ukitaka kuona sura zao halisi watajie tu neno KATIBA MPYA.Angalia "upeo" wa wateuliwa wa rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!
Kwahio kutonunua kwao kutaondoa wao kutengeneza magari? Halafu unaposema miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita mbaya, unajua kuwa Tz imepigana vita mbaya 1978? Unajua kuwa Tz imepigana vita kuzikomboa nchi za Kusini mwa Afrika? Utakuwa umezaliwa 90s wewe sio bure.
Nani na kwa bei gani?Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Bingo ni shida sana sijui tunakwama wapi sisi ni wa kununua magari Rwanda kweli kanchi Kama wilaya ya kigambniSafi sana. Hata mafuta ya petrol na diesel tununue huko maana ni bei nafuu kuliko huku bongo
Ukiona simu za Rwanda bei juu basi sogea pale chini kidogo wanazo. Yaani Burundi nimeziona hapa hapa TZ zinafanyiwa promo. Sikuamini lakini ndiyo hivyo. Scania Kibaha ilitushinda. Baiskeli za itutu kigi sijui kama bado tunazo.Nashauri pia ile tenda ya Kuanzisha kiwanda cha Simu hapa nchini ifutwe, tununue simu zinazotengenezwa Rwanda (MaraPhone). Huku ndio kufungua nchi. Mara Phones: Buy Online Africa’s 1st Android Smartphone 😀 😀 😀 😀
Huu Sasa usengehh mniwie radhi wakuu! Yaani hako ka kitongoji katuuzie magari na huyu Bibi kakubali badala na yeye atafute wawekezaji?
Ndiyo kufungua nchi Huku?
Huyu mama hakupaswa kuwa hata naibu waziri kabisa!
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Huko kuchinjana labda ndio kumepelekea kuheshimiana kiongoziTatizo hatuoni the bigger picture hapa. Haya ni mambo ya aibu, sio ya kusema kwa nguvu. Inawezekana vipi nchi ambayo mwaka 1994 walichinjana kama kuku, leo tunaenda ku-import magari kutoka kwao!! That is my point, we should be ashamed of ourselves.
Ndiyo utajua hujuiBingo ni shida sana sijui tunakwama wapi sisi ni wa kununua magari Rwanda kweli kanchi Kama wilaya ya kigambni