johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mafuta tutanunua Uganda bwashee!Safi sana. Hata mafuta ya petrol na diesel tununue huko maana ni bei nafuu kuliko huku bongo
Sio lazima kiletwe mkuu, hakuwezikuwa na viwanda vya vw karibu hivi. Cha msingi wasiweke ma kodi yao ya hovyo tu maana member wanaonunua magari wanadai kodi ipo juu mnoNonsense, nilijua wanaleta kiwanda hapa TZ
Aise kwani si tulikuwa na mpango wa kuwa na kiwanda cha kuunda magari na sisi. Ni kwamba ni gharama sana au. Nchi hii yaani waziri mzima anaona raha kuagiza gari kutoka Rwanda wakati tungeweza na sisi unda ya kwetu tukatumia ya nyumbani. Anyway Mungu anihurumie. Tuna viongozi wa ajabu sana yaaniWaziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Source: ITV
Angalia "upeo" wa wateuliwa wa Rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!Tanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Mi nafikiri ni kutengeneza.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Source: ITV
MIE NILIDHANI TUTAANZA KUTENGENEZA na SISI MAGARI YETU tuna MIAKA 60 ya UHURU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Source: ITV
Kutengeneza nini?Mi nafikiri ni kutengeneza.
Sisi tunatengeneza magari ya Nyumbu pale kibaha!MIE NILIDHANI TUTAANZA KUTENGENEZA na SISI MAGARI YETU tuna MIAKA 60 ya UHURU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unataka kununua nini Rwanda.Kutengeneza nini?
MIE NILIDHANI TUTAANZA KUTENGENEZA na SISI MAGARI YETU tuna MIAKA 60 ya UHURU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shame on us.Angalia "upeo" wa wateuliwa wa rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!
VW bito!We unataka kununua nini Rwanda.
Nenda BurundiNaweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.
#MaendeleoHayanaChama