Kwani kinachofanyika sasa ni nini? Si kilekile ambacho kilifanyika awamu ya 5 kikapingwa? Tena wamesema hata kama awamu iliyopita ulikataliwa lakini wataanza tena kule na sipo walipoishia awamu ya 5 ila ilipoishia awamu ya nne. Unajua hilo?Who is Dr. Chamuriho....unaambiwa mkataba haukuwepo unaleta undezi hapa simama katika HOJA.
Kama ambavyo Mbowe sio gaidi, na sisi wananchi sio wajinga.[emoji1534][emoji1533]Usiwaamini hawa watu.
Sawa amezipitia, swali ni je, ana utaalamu wa mikataba na maswali mengine ya kitaalamu?
Kama ambavyo Mbowe sio gaidi, na sisi wananchi sio wajinga.
Hata kifo cha Ole NashaMnhhh.....
Kifo cha Magufuli kinaanza kufikirisha sasa.
Lohh!!
Tutaongeza tozo mpya ili pesa ipatikane ya kufund hiyo miradi.LNG na bandari ya Bagamoyo, huku bado kuna SGR, Nyerere dam, Kigongo Busisi yote miradi mikubwa ya gharama kubwa na bado haijamilika, hii haraka ya nini kama sio nao wanataka 10% zao?
Sasa mwendazake yale maneno aliokuwa anadanganya Umma wa Watanzania aliyatoa wapi, kwa maelezo haya ya Mwambe naamini kwa asilimia mia 100 yule mzee hakuwa na nia ya dhati kutusaidia watanzania... Halafu anasema msema kweli mpenzi wa Mungu... Hakika tutaendelea kumshukuru Mungu.Kwani kinachofanyika sasa ni nini? Si kilekile ambacho kilifanyika awamu ya 5 kikapingwa? Tena wamesema atakama awamu iliyopita ulikataliwa lakini wataanza tena kule na sipo walipoishia awamu ya 5 ila ilipoishia awamu ya nne. Unajua ilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.Nafarijika sana naposikia maamuzi yenye tija kama haya yanafanyika. Bandari ya Bagamoyo ni mkombozi kwa ajira za vijana wetu wanaomaliza ngazi mbalimbali za elimu
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWaziri wa uwekezaji Mr Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Source: ITV habari
Safi sana MamaWaziri wa uwekezaji Mr Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Source: ITV habari
Katika hili siwezi kumlaumu au kumpongeza Magufuli. Alichokifanya Kikwete ndio hicho hicho alichokifanya Magufuli na ndio hicho hicho anakifanya Samia kwenye hili la bandari ya Bagamoyo. Marais wote hao wanatulisha upepo wa sumu za matango pori, hakuna kati yao aliyetuletea kwanza huo mkataba tukausoma na kuuchambua ili kujua mbichi na mbivu.Sasa mwendazake yale maneno aliokuwa anadanya Umma wa Watanzania aliyatoa wapi , kwa maelezo haya ya Mwambe naamini kwa asilimia mia 100 yule mzee hakuwa na nia ya dhati kutusaidia watanzania... Halafu anasema msema kweli mpenzi wa mungu... hakika tutaendelea kumshukuru mungu.
Katika hili siwezi kumlaumu au kumpongeza Magufuli. Alichokifanya Kikwete ndio hicho hicho alichokifanya Magufuli na ndio hicho hicho anakifanya Samia kwenye hili la bandari ya Bagamoyo. Marais wote hao wanatulisha upepo wa sumu za matango pori, hakuna kati yao aliyetuletea kwanza huo mkataba tukausoma na kuuchambua ili kujua mbichi na mbivu.
Mkataba ulishawahi kuuona, Prof. Assad alishawahi kuomba Documents za Bagamoyo port hakupewa, kumbe hazipo....sasa naelewa kwanini hamkupenda Assad.Sasa bado najiuliza hivi ilikuwaje kwa Rais Kikwete tarehe 16/10/2015 pale bagamoyo aliweka jiwe la msingi la kuanza kujengwa bandari hiyo ya Bagamoyo ikiwa mkataba ulikuwa bado haujasainiwa?
Hawa jamaa wanatufanya sisi mazuzu.
JPM alivuta kamba kuelekea Kanda ya Ziwa, sasa mama anavuta kuelekea baharini.Mama anakiuka wosia wa mwendazake - kwamba mwenye akili timamu hawezi kuendeleza au kuukubali huo mradi.
Hayo masharti ni yenu ninyi.Huu mradi masharti yake ya hovyo si yalisemwa hadharani mpaka viongozi waliokuwa kwenye huo mkutano wakaguna…sasa hv unafufuliwa tena?!
Hv jamani hii Tanzania ni yetu wote au ya watu wachache…tuwajue basi tuwaombee uhamisho wapate makazi mengine wale asali huko waendako km wanaitamani sana…watuachie Tanzania yetu tujikongoje taratibu…kuliko kuja kulishwa masumu na uwekezaji ambao hauna tija kwetu na ardhi yetu na dawa hospitalini hakuna…