Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
I never ever trust Chinese.. Mbona watu hawayaoni ya Kenya, Zambia, Sri Lanka, Ethiopia etc China dept trap ni hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwezi kuishi kwa kuogopa maendeleo.I never ever trust Chinese.. Mbona watu hawayaoni ya Kenya, Zambia, Sri Lanka etc
Hujui kitu wewe na huwajui Chinese, shut up plzHatuwezi kuishi kwa kuogopa maendeleo.
Biashara ni give and take.
Nyie rudini maporini mlikotoka.Hujui kitu ww, na huwajui Chinese, shut up plz
Nyie rudini maporini mlikotoka.
Tuachieni nchi washamba ninyi
You should also go and rot, where you belong, just as your provincial mentor.You are very very stupid. Nasty
At last, dalili za mradi wa Bandari ha Bagamoyo sasa zimeanza kuonekana.
Taarifa ya Habari ITV, saa mbili ya jioni hii Waziri wa Biashara na Uwekezaji , Ndg Mwambe, ametamka kuwa maongezi karibu yataanza juu ya utkelezaji wa agizo la Rais Samia kupitia mambo yote yaliyoongelewa katika hatua za awali na kama kulikuwepo na mkataba.
Waziri Mwambe amesema HAKUNA mkataba wowote uliokuwepo kati ya serikali na wawekezaji toka China, na mawasiliano yataendelea ili mradi huo ufikie hatua za utekelezaji.
MY TAKE
Tumerudi nyuma sana katika miaka hii sita iliyopita, tugange yajayo, yaani uchumi endelevu, yaliyipita si ndwele.
Kwa mswahili uliye Bagamoyo, tunza arhi yako kama mboni ya jicho,” Kurasini” ya pili yaja.
Hayo maendeleo unategemea uletewe!? Historia ni mwalimu mzuri. Huko kwenye migodi madini yanasombwa bure, hiyo nguvu ya kujadiliana na wachina ili upate fair deal unaitoa wapi!? Nguvu ambayo Kenya, Angoka, Na Zambia wameikosa. Mhula wa tatu wa vasco da gama wa msoga huu.Hatuwezi kuishi kwa kuogopa maendeleo.
Biashara ni give and take.
Huyo hajielewiHayo maendeleo unategemea uletewe!? Historia ni mwalimu mzuri. Huko kwenye migodi madini yanasombwa bure, hiyo nguvu ya kujadiliana na wachina ili upate fair deal unaitoa wapi!? Nguvu ambayo Kenya, Angoka, Na Zambia wameikosa. Mhula wa tatu wa vasco da gama wa msoga huu.
Mwendazake sio Baba wa Taifa hiliMama anakiuka wosia wa mwendazake - kwamba mwenye akili timamu hawezi kuendeleza au kuukubali huo mradi.
Wewe uliyaona hayo masharti? Au umekariri maneno ya yule chizi jiwe? Jiwe alisema vile ili fedha zote ziende kijijini kwake Chato. Mpuuzi sana yuleHuu mradi masharti yake ya hovyo si yalisemwa hadharani mpaka viongozi waliokuwa kwenye huo mkutano wakaguna…sasa hv unafufuliwa tena?!
Hv jamani hii Tanzania ni yetu wote au ya watu wachache…tuwajue basi tuwaombee uhamisho wapate makazi mengine wale asali huko waendako km wanaitamani sana…watuachie Tanzania yetu tujikongoje taratibu…kuliko kuja kulishwa masumu na uwekezaji ambao hauna tija kwetu na ardhi yetu na dawa hospitalini hakuna…
Maamuzi ni ya wachache ndo maana inatokea namna hiyoHuu mradi masharti yake ya hovyo si yalisemwa hadharani mpaka viongozi waliokuwa kwenye huo mkutano wakaguna…sasa hv unafufuliwa tena?...