Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Umejishibisha upotoshaji mkubwa.Hongera sana JK kweli mzee baba bado unaendesha nchi...
Unafurahisha genge kwa uzushi usiokuwepo.
#SiempreJMT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejishibisha upotoshaji mkubwa.Hongera sana JK kweli mzee baba bado unaendesha nchi...
Wanaopinga ni sukuma gangHureeeeee Mungu mkubwa mnaopinga hamjui chochote kuhusu hii project mnaweka interest za wivu na chuki tu hii si project ya Samia au Jakaya
Mswahili wa Pwani atakula tu 30% yake.At last, dalili za mradi wa Bandari ha Bagamoyo sasa zimeanza kuonekana.
Taarifa ya Habari ITV, saa mbili ya jioni hii Waziri wa Biashara na Uwekezaji , Ndg Mwambe, ametamka kuwa maongezi karibu yataanza juu ya utkelezaji wa agizo la Rais Samia kupitia mambo yote yaliyoongelewa katika hatua za awali na kama kulikuwepo na mkataba...
Tanzania shamba la Bibi hakuna mwenye uchungu nayo. We kamata nofu jilie kwa Raha zako babu.Hapa ndo huwa nawaona wafuasi wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Topic kama hizi hawachangii kwa sababu wanaogopa wakichangia kusapoti mradi wa bagamoyo wataonekana wanamsapoti Samia na wakiupinga mradi wataonekana wanamkubali Magufuli...
Give and take Kwa watu wanaojielewa si vichwa boga. Hatuna smart people wa kufanya negotiations bali wachumia matumbo .hii bandari wataitapikaHatuwezi kuishi kwa kuogopa maendeleo.
Biashara ni give and take.
Are you venomous creature ? Nearly heart attack just from reading your spitYou should also go and rot, where you belong, just as your provincial mentor.
Leave smart projects for the smart minded and forward thinking fellas, not backward provincial twits as you pitiful lot.
For those who prefer venom, there is plenty to spare.Are you venomous creature ? Nearly heart attack just from reading your spit
Dont join those backward thinking unimaginative lot.Tz shamba la Bibi hakuna mwenye uchungu nayo. We kamata nofu jilie kwa Raha zako babu.
Katika biashara yoyote 30% is enough stake as capital.Mswahili wa Pwani atakula tu 30% yake.
Yule mpotoshaji alisemaje?At last, dalili za mradi wa Bandari ha Bagamoyo sasa zimeanza kuonekana.
Taarifa ya Habari ITV, saa mbili ya jioni hii Waziri wa Biashara na Uwekezaji , Ndg Mwambe, ametamka kuwa maongezi karibu yataanza juu ya utkelezaji wa agizo la Rais Samia kupitia mambo yote yaliyoongelewa katika hatua za awali na kama kulikuwepo na mkataba...
Yule alijenga kiwanja cha kimataifa kule bush Gbadolite.Yule mpotoshaji alisemaje?
"Vuta nkuvute"JPM alivuta kamba kuelekea Kanda ya Ziwa, sasa mama anavuta kuelekea baharini.
trueYule alijenga kiwanja cha kimataifa kule bush Gbadolite.
Sasa kinatumika vizuri na wakulima kuanikia nafaka na nguo.
Kuna watu vichwa bado vya bush, hawaelewi kuwa Bandari Bafamoyi is good business hata kwa mtu aliye katika perimeter ya 50km.
😁😁😁"Vuta nkuvute"
Mnatuvuruga tu mara reli mara bwana la umeme mara bandari kuchezea pesa tu kila mtu anapiganiaradi wenye 10%yakeAt last, dalili za mradi wa Bandari ha Bagamoyo sasa zimeanza kuonekana.
Taarifa ya Habari ITV, saa mbili ya jioni hii Waziri wa Biashara na Uwekezaji , Ndg Mwambe, ametamka kuwa maongezi karibu yataanza juu ya utkelezaji wa agizo la Rais Samia kupitia mambo yote yaliyoongelewa katika hatua za awali na kama kulikuwepo na mkataba...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Piiiigaaaaa baba. Wapumbavu si wakuwaonea huruma hata kidogo.Hapa ndo huwa nawaona wafuasi wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Topic kama hizi hawachangii kwa sababu wanaogopa wakichangia kusapoti mradi wa bagamoyo wataonekana wanamsapoti Samia na wakiupinga mradi wataonekana wanamkubali Magufuli....