Kipindi fulani kwenye issue za negosition kama hizo unakuta timu kama wakina Dr. Chamuriho ambae aliongoza timu ya negosition mradi wa SGR, Ununuzi wa ndege pamoja Bwawa la Mwalimu Nyerere ila kwasasa anaonekana hafanyi kazi vizuri chini ya Rais Samia, pembeni ungemkuta Marehemu Mfugale, wingi ya kulia ungemkuta Engineer Kakoko then unakuta watu wa Tanroads, watu sheria, etc na ao wote walikuepo kwenye ile team ya mwendazaje iliyosema kwa masharti haya hapana kama vipi yakwetu ni haya hamtaki rudini mkajipange tena.
Lakini safari hii tarajia kukutana na wanasiasa na wanadriplomasia.
Sent using
Jamii Forums mobile app