At last, dalili za mradi wa Bandari ha Bagamoyo sasa zimeanza kuonekana.
Taarifa ya Habari ITV, saa mbili ya jioni hii Waziri wa Biashara na Uwekezaji , Ndg Mwambe, ametamka kuwa maongezi karibu yataanza juu ya utkelezaji wa agizo la Rais Samia kupitia mambo yote yaliyoongelewa katika hatua za awali na kama kulikuwepo na mkataba.
Waziri Mwambe amesema HAKUNA mkataba wowote uliokuwepo kati ya serikali na wawekezaji toka China, na mawasiliano yataendelea ili mradi huo ufikie hatua za utekelezaji.
MY TAKE
Tumerudi nyuma sana katika miaka hii sita iliyopita, tugange yajayo, yaani uchumi endelevu, yaliyipita si ndwele.
Kwa mswahili uliye Bagamoyo, tunza arhi yako kama mboni ya jicho,” Kurasini” ya pili yaja.