Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

Sasa mkataba unasema kudhoofisha bandari zinginezo kwa kipindi yenyewe ikianza kazi! Unategemea nini kama meli zote kubwa zitapitia Bagamoyo port!?
Uliuona huo mkataba, CAG aliomba akanyimwa , kumbe haukuwepo yalikuwa tu majadiliano ya awali yanaendelea.. Hayati akatoka hadharani kuudanganya Umma. La msingi tusubilie majadiliano yatakavyoanza sio kuongopea wananchi
 
Uliuona huo mkataba, CAG aliomba akanyimwa , kumbe haukuwepo yalikuwa tu majadiliano ya awali yanaendelea.. Hayati akatoka hadharani kuudanganya Umma. La msingi tusubilie majadiliano yatakavyoanza sio kuongopea wananchi
Hayo majadiliano pia mtapigwa kamba vile vile! Kwani yale majadiliano ya kishika uchumba yalikuwaje?
 

We Mzima Kweli. Kwanini unapenda kuishi kindoto. Huyo mwenda zake alianza na uwaziri na then akawa Rais. Amefanya mengi sana ambayo huwezi tilia mashaka uzalendo Wake. Wewe umefanya nini hata kwa jirani yako.

Unahitaji mkataba kujua mtu wa nchi nyingine anataka nini anpotaka kufanya biashara nawe. Toa mfano mmoja tu ambao katika miaka hii Mchina anaonekana kupenda wengine zaidi yake. Wenzako wanafikri sana. Nenda Zambia. Soma historia.
 
Hili Jambo kunamtu litakuja kumtoa uhai huko mbele, nawaza tu kwa kuandika....
 
Hayo majadiliano pia mtapigwa kamba vile vile! Kwani yale majadiliano ya kishika uchumba yalikuwaje?
Aliekuwa anatupiga kamba ameshaondoka, maana alikuwa anatudanganya miradi kibao anajenga kwa fedha za ndani... ndio maana bado unawenge la kudanganywa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliekuwa anatupiga kamba ameshaondoka, maana alikuwa anatudanganya miradi kibao anajenga kwa fedha za ndani... ndio maana bado unawenge la kudanganywa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa wacha tuone hawa mafisadi papa watakuwa na lipi jema! Maana aliekuwa walau ana unafuu ameshadanchi
 
Wewe ndio sio mzima, unadhania mimi niliamini yale maneno ya Hayati.. Mtu ambaye katiba tu ya nchi aliikanyaga, atashindwa kudangaya..
 
Sasa bado najiuliza hivi ilikuwaje kwa Rais Kikwete tarehe 16/10/2015 pale bagamoyo aliweka jiwe la msingi la kuanza kujengwa bandari hiyo ya Bagamoyo ikiwa mkataba ulikuwa bado haujasainiwa?

Hawa jamaa wanatufanya sisi mazuzu.
Siyo mazuzu tu mazwazwa, yaan kunawatu wanatia hasira mpka unajiuliza au si wtz?? Ni watu wamekodiwa kutoka mataifa mengine?? Wanachofanya Ni kuuwa raia kwa kisingizio Cha maendeleo, hyo bandari hyo sijui... Kunakitu Kiko nyuma ya pazia, isije kuwa yalikuwa makubaliano baada ya zile tuhuma za China, akapewa... Ila kunasiku kitanuka tu!! Hata kitamu huchacha
 
Y bagamoyo?? What is the huge issue in bagamoyo? Something hidden agenda..
 
Uliuona huo mkataba, CAG aliomba akanyimwa , kumbe haukuwepo yalikuwa tu majadiliano ya awali yanaendelea.. Hayati akatoka hadharani kuudanganya Umma. La msingi tusubilie majadiliano yatakavyoanza sio kuongopea wananchi
Ndiyo maana ata jiwe la msingi likawekwa eti kulikuwa na mazungumzo ya awali?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule alijenga kiwanja cha kimataifa kule bush Gbadolite.
Sasa kinatumika vizuri na wakulima kuanikia nafaka na nguo.
Kuna watu vichwa bado vya bush, hawaelewi kuwa Bandari Bagamoyo is good business hata kwa mtu aliye katika perimeter ya 50km.
Huwezi kuhalalisha kosa kwa kufanya kosa mkuu..
 
Ujinga mmeonyesha nyinyi maccm kwa kuwapa Kinga za kutokushitakiwa ndio maana wanawafanyia ujinga mwingi wa matozo. Katiba mpya ndio utakuwa mwisho wa haya maujinga
 
Kama tuliaminishwa kuwa hayati Magufuli anabana pesa ila akiondoka madarakani pesa zitamwagika mtaani lkn tunasuhudia sasa hivi hali imekua ngumu zaidi.

Kushabikia ujenzi wa hiyo bandari pasipo kujiridhisha kwa hiyo mikataba ni uzwazwa.

Bandari ya DSM haijashindwa kupokea mizigo bado inajitosheleza, bandari za mtwara na tanga zipo wazi.

Sidhani kama tuna uhitaji wa bandari zaid kwa sasa.
 
Kijana huyu analihenyesha taifa,heri wangemfanya Kama wanavyofanya wengine.
 
Tuliaminishwa kuwa tukikataa hiyo fursa ya kujengewa hiyo bandari wachina wangehamia Kenya na kujenga bandari ambayo ilitakiwa ijengwe dsm, tukaaminishwa kuwa serikali ya Kenya wapo tayari kwa huo mradi lakini sijui kama kuna kinachoendelea huko Kenya.

Kabla ya kusaport vitu kwa mihemko na kisiasa tutafakari kwa maana maumivu yatakua ni ya watanzania wote.
 
Waziri katoa maelezo mazuri sana kwenye kujibu maswali asa kwenye finance, be it alianza na blah blah za mambo ya economic benefit ambazo tushaimbiwa sana.

Bila ya maswali ya waandishi key information asingeelezea, binafsi nimependa majibu yake yana kina. I

Swala la msingi lipo pale pale maelezo yake na ya Kakoko hayana tofauti kwenye terms za payback period ya mkataba kwa kutumia hizo hizo economic models zao.

Apparently payback period ni between 15-30 years the latter being worst case scenario. Wachina wanataka kuendesha bandari for 99 or is it 66 years regardless of when they get their investment and profit back.

Na upande wa logistic na industry Park serikali ilikuwa aina shida mchina ata kesho akitaka kujenga aende alishaambiwa subject to Tanzania invest laws.

Hizo ndio zilikuwa conditions ambazo mchina azitaki anataka special concession kwenye logistic and industrial park na ziwe sehemu ya mkataba na bandari apewe muda zaidi; hizi ndio sababu zilizomfanya aingie mitini.

Kidali, kinabaki what is the government willing to compromise ili kumrudisha mchina mezani.

Mbele giza, msoga yeye piga ua bandari ijengwe; kuna watu wanatakiwa wamwambie JK ukweli stay out of Tanzania politics baki mshauri tu humo CCM vinginevyo analazimisha vitu vyenye madhara ya muda mrefu sana he is very short sighted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…