Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #21
Huyu ni waziri wa hovyo sanaHuyu jamaa unga anaouuza itakuwa kaanza kuuvuta, yule mwenzio kipindi kile skuli Morogoro tulikuwa tunagonga nae ganja ila pamoja na uhuni wake ana kaustaarabu kwa mbali sema tu ni mwizi! Ila huyu ustaarabu ni zero kabisa
ni dola 90 kwa mwezi kama laki 2 na nusu hivi, internet inaweza kuunga hata watu 100 ingekuwa na msaada sana hasa vijijini, mbugani, maporini, n.kMmmm lakini starlink sio rafiki kwa 99% watanzania walio wengi..$ 250 mwezi wengi hatuweziii
Kabisa hii inge saidia sana yaani sana nimetoka kumwambia mda si mrefu huyu jamaani dola 90 kwa mwezi kama laki 3 hivi, internet inaweza kuunga hata watu 100 ingekuwa na msaada sana hasa vijijini, mbugani, maporini, n.k
Hivi huyu ni waziri wa nini kwenye Serikali ya Samia Suluhu Hassan? 😳 😳 😳 😳View attachment 2752638
Je ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
Iwekwe...acheni kuwanyima watu huduma kisa Tu kufanya generalisation...Kwan hakuna watu wala makampuni yanayoweza kuaaford?Mmmm lakini starlink sio rafiki kwa 99% watanzania walio wengi..$ 250 mwezi wengi hatuweziii
Waziri wa habari na teknolojia huyu waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ana fananisha bei ya mafuta na bando huyu ni hovyo sanaHivi huyu ni waziri wa nini kwenye Serikali ya Samia Suluhu Hassan? 😳 😳 😳 😳
Naunga mkono hojaIwekwe...acheni kuwanyima watu huduma kisa Tu kufanya generalisation...Kwan hakuna watu wala makampuni yanayoweza kuaaford?
Huu ndo ujamaa wenyew sasa....
Ina maana wanashirikiana na mama yao kutu umiza si ndio ngoja kipindi cha kupiga kura tutafanya maamuzi
Yani hao ndo washauri wake wakuuNape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Kama ndo majembe basi tu saa100 ndo rais kilaza kuliko wote baroni africaNape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Ndo maana mama nae ni hovyo sana ndo maana ana saini mikataba ya hovyoWe huyo ndo mshauri mkuu wa maza huko kusini🤣🤣mbadala wa majaliwa
Hiyo ndio think tank yao kusini🤣🤣
Kusini kucheleeee🤣🤣🤣
Tutafika tu
Naunga mkono hojaKama ndo majembe basi tu saa100 ndo rais kilaza kuliko wote baroni africa
Juzi tu nimemsikia akielezea malezi ya baadhi ya watu, kwamba haya ndio malezi bora huko CCM? 🤔Waziri wa habari na teknolojia huyu waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ana fananisha bei ya mafuta na bando huyu ni hovyo sana
Makubwa 🤭🙄View attachment 2752638
Je ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
Hongera yake Waziri msenge amejibatizaView attachment 2752638
Je ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
Kabisa hasa bongo ndo maana kura zina ibiwaUchaguzi ni kiini macho tu FYI
Mwenye video yake akitoka ikulu enzi zile akiwa analia airusheHongera yake Waziri msenge amejibatiza
Ni waziri wa hovyo huyuHongera yake Waziri msenge amejibatiza
Mahotelini, ofisini, bar nk. Hata kwenye mabasi nasikia wataweka.ni dola 90 kwa mwezi kama laki 3 hivi, internet inaweza kuunga hata watu 100 ingekuwa na msaada sana hasa vijijini, mbugani, maporini, n.k