Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Hivi huyu ni waziri wa nini kwenye Serikali ya Samia Suluhu Hassan? 😳 😳 😳 😳
Waziri wa habari na teknolojia huyu waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ana fananisha bei ya mafuta na bando huyu ni hovyo sana
 
Back
Top Bottom