Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #21
Huyu ni waziri wa hovyo sanaHuyu jamaa unga anaouuza itakuwa kaanza kuuvuta, yule mwenzio kipindi kile skuli Morogoro tulikuwa tunagonga nae ganja ila pamoja na uhuni wake ana kaustaarabu kwa mbali sema tu ni mwizi! Ila huyu ustaarabu ni zero kabisa