Sio size yetu nakwambiaas from laki 3 kwa mwezi unawaza buku hahaha watanzania ni shida elimu yetu ndogoooUna roho ya umaskini mbaya, sio lazima tuweze kila kitu, kama matajiri wakiweza, ujue tayari ushindani umeingia na sisi wa buku buku mb zitashushwa bei
Shida yetu ni kuaminia kila kinachosemwa mtandaoni.....hasa via biashara na siasa.....sidhani kama warapata hata watu 100 kuweza kununua kutumia ....sababu telecom zetu zime vover kote sioni sababu kukomaliaa syarlink.....hakika nawaambia mm neutral ile sio level yetuuSasa si muache soko liamue! Mnahofu nini?
Kaka wew ndo huna pesa hiyo mbona huku swedish natumia siku moja tu kununulia nyama choma na bongo nimewaachia voda supakasi na natoa laki moja na 15 ndo inishinde hiyo pesa ndogo tuSio size yetu nakwambiaas from laki 3 kwa mwezi unawaza buku hahaha watanzania ni shida elimu yetu ndogooo
Ni washenzi sanaNa hawa ndio wenye CCM yao ety.
Sweden ? Nasema Bongo Badooo sanaaa labda hujaelewa nasemea kwa TanzaniaaaKaka wew ndo huna pesa hiyo mbona huku swedish natumia siku moja tu kununulia nyama choma na bongo nimewaachia voda supakasi na natoa laki moja na 15 ndo inishinde hiyo pesa ndogo tu
Unazungumzia hizi telecom za hovyo hizi ambazo mb zinapimwa huko tulishatoka skuiz watu tunataka unlimited na sio limited shtuka kakaShida yetu ni kuaminia kila kinachosemwa mtandaoni.....hasa via biashara na siasa.....sidhani kama warapata hata watu 100 kuweza kununua kutumia ....sababu telecom zetu zime vover kote sioni sababu kukomaliaa syarlink.....hakika nawaambia mm neutral ile sio level yetuu
Kwa hiyo Tanzania hakuna wenye hio pesa kakaSweden ? Nasema Bongo Badooo sanaaa labda hujaelewa nasemea kwa Tanzaniaaa
Halafu ndio waliomlogašNape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Hamna kitu, Nape huwaga ni kila.za sana sema kubebana ndo kumemfikisha hapo.Au kuna mtu kahack account ya mheshimiwa?
Wanazo ila why utumie satellite wakato normsl internet zipo cheaper ? Satellite ni ghali na speed ndogo hutumika kwejye sehemu hakuna normal terrestrial network ....mbugani vitani off shore mafuta huko sio majumbanii......watu wanabishana wakati tuna survive chini dola 10 kwa siku....elimu elimu elimuKwa hiyo Tanzania hakuna wenye hio pesa kaka
Kabisa naunga mkono hojaHamna kitu, Nape huwaga ni kila.za sana sema kubebana ndo kumemfikisha hapo.
Hizo pesa di za kuchezea kununua sattelite wakati bundle 5000k inakutosha per dayKwa hiyo Tanzania hakuna wenye hio pesa kaka
Kaka nani alikwambia kuwa satellite speed yake ni ndogo huyo alikudanganya satellite ndo ina speed kalii sana kwenye upande wa usafirishaji dataWanazo ila why utumie satellite wakato normsl internet zipo cheaper ? Satellite ni ghali na speed ndogo hutumika kwejye sehemu hakuna normal terrestrial network ....mbugani vitani off shore mafuta huko sio majumbanii......watu wanabishana wakati tuna survive chini dola 10 kwa siku....elimu elimu elimu
Naunga mkono hojaHalafu ndio waliomlogaš
Jamaa ni mshamba sanaJamaa huwa anajisahau sana
Ilo tunapimiwa skuizi tushatoka kwenye limited now tupo unlimited kakaHizo pesa di za kuchezea kununua sattelite wakati bundle 5000k inakutosha per day
Hujui unaloongea...endelea unakoamini...sibishani na wewe kwenye hilo ....hujui unalobishana...sikui hata fani yako wala hujui yangu .....angalia kitu latency satellure 800ms ....tereĆtrisl 100ms....sijui kama unaelewaa....kwa heriiKaka nani alikwambia kuwa satellite speed yake ni ndogo huyo alikudanganya satellite ndo ina speed kalii sana kwenye upande wa usafirishaji data
Sawa chawa wa mama ambae hujui kitu chochote kuhusu satellite internet usi sahau kumpa hiii na nape uko unapo kwenda kwa heri comradeHujui unaloongea...endelea unakoamini...sibishani na wewe kwenye hilo ....hujui unalobishana...sikui hata fani yako wala hujui yangu .....angalia kitu latency satellure 800ms ....tereĆtrisl 100ms....sijui kama unaelewaa....kwa herii