Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Una roho ya umaskini mbaya, sio lazima tuweze kila kitu, kama matajiri wakiweza, ujue tayari ushindani umeingia na sisi wa buku buku mb zitashushwa bei
Sio size yetu nakwambiaas from laki 3 kwa mwezi unawaza buku hahaha watanzania ni shida elimu yetu ndogooo
 
Sasa si muache soko liamue! Mnahofu nini?
Shida yetu ni kuaminia kila kinachosemwa mtandaoni.....hasa via biashara na siasa.....sidhani kama warapata hata watu 100 kuweza kununua kutumia ....sababu telecom zetu zime vover kote sioni sababu kukomaliaa syarlink.....hakika nawaambia mm neutral ile sio level yetuu
 
Sio size yetu nakwambiaas from laki 3 kwa mwezi unawaza buku hahaha watanzania ni shida elimu yetu ndogooo
Kaka wew ndo huna pesa hiyo mbona huku swedish natumia siku moja tu kununulia nyama choma na bongo nimewaachia voda supakasi na natoa laki moja na 15 ndo inishinde hiyo pesa ndogo tu
 
Shida yetu ni kuaminia kila kinachosemwa mtandaoni.....hasa via biashara na siasa.....sidhani kama warapata hata watu 100 kuweza kununua kutumia ....sababu telecom zetu zime vover kote sioni sababu kukomaliaa syarlink.....hakika nawaambia mm neutral ile sio level yetuu
Unazungumzia hizi telecom za hovyo hizi ambazo mb zinapimwa huko tulishatoka skuiz watu tunataka unlimited na sio limited shtuka kaka
 
Kwa hiyo Tanzania hakuna wenye hio pesa kaka
Wanazo ila why utumie satellite wakato normsl internet zipo cheaper ? Satellite ni ghali na speed ndogo hutumika kwejye sehemu hakuna normal terrestrial network ....mbugani vitani off shore mafuta huko sio majumbanii......watu wanabishana wakati tuna survive chini dola 10 kwa siku....elimu elimu elimu
 
Kaka nani alikwambia kuwa satellite speed yake ni ndogo huyo alikudanganya satellite ndo ina speed kalii sana kwenye upande wa usafirishaji data
 
Hujui unaloongea...endelea unakoamini...sibishani na wewe kwenye hilo ....hujui unalobishana...sikui hata fani yako wala hujui yangu .....angalia kitu latency satellure 800ms ....tereßtrisl 100ms....sijui kama unaelewaa....kwa herii
 
Sawa chawa wa mama ambae hujui kitu chochote kuhusu satellite internet usi sahau kumpa hiii na nape uko unapo kwenda kwa heri comrade
 
Back
Top Bottom