Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Sio size yetu nakwambiaas from laki 3 kwa mwezi unawaza buku hahaha watanzania ni shida elimu yetu ndogoooUna roho ya umaskini mbaya, sio lazima tuweze kila kitu, kama matajiri wakiweza, ujue tayari ushindani umeingia na sisi wa buku buku mb zitashushwa bei