Serikali ya awamu hii imejaa wahuni waliopatikana kihuni, tutaendelea kuumia mpaka mwenyezi Mungu atakapoingilia KatiView attachment 2752638
Je ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hhi
Ujinga ni kipaji! Sasa si muwape kibali then watakimbia wenyewe watapokosa wateja.Kuna ukweli huwa hatutaki kusema .....starlink sio kwa watanzania walio wengi nevsr ....tupambane bundle zetu hizi hizi kule hatuweziii hataaa....nakwambia mm mdau huko piaaa
Waziri wa mipasho , kufungua warsha, matasmasha na semina uchwara.Hivi huyu ni waziri wa nini kwenye Serikali ya Samia Suluhu Hassan? 😳 😳 😳 😳
Hana akili huyuIvi mheshimiwa huwa anaonja vitu vikali vikali ama ni hasira tu?
Hana akiliIvi mheshimiwa huwa anaonja vitu vikali vikali ama ni hasira tu?
Ndo maana ni waziri wa hovyoWaziri wa mipasho , kufungua warsha, matasmasha na semina uchwara.
Ndo maana ni waziri wa hovyoJinsi ambavyo serikali hii na viongozi wake wanavyotutendea, ni kana kwamba wanatulipizia kisasi!
Huyu Nape huenda huwa anatuchukulia sisi kwamba ndo tulimshauri Hayati JPM amtumbue na yule jamaa amnyooshee bastola.
Maana naona wengi ni wanatufokea tu raia kuanzia wabunge hadi hawa mawaziri uchwara
Ni waziri wa hovyo huyuDuh katukana hadharani dunia nzima inaona
Kama hawa ndio majembe basi ndio maana hatuwezi kutoka hapa tulipo!Nape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Wewe unajiwaza mwenyew tu kuna watu wana maofisi weengi tuu wanahitaji speed ya kupakuwa vitu mtandaoni , shida si gharama shida ni efficiency na options kwani kamaa hatuwezi nani atapata hasara mwekezaji au sisiKuna ukweli huwa hatutaki kusema .....starlink sio kwa watanzania walio wengi nevsr ....tupambane bundle zetu hizi hizi kule hatuweziii hataaa....nakwambia mm mdau huko piaaa
Ni waziri wa hovyo sanaWaziri mwenyewe tia maji kichwani (kielemu) mnatarajia nini!
Ndio aina ya mawaziri tulio nao!
Kabisa safi sana naunga mkono hojaWewe unajiwaza mwenyew tu kuna watu wana maofisi weengi tuu wanahitaji speed ya kupakuwa vitu mtandaoni , shida si gharama shida ni efficiency na options kwani kamaa hatuwezi nani atapata hasara mwekezaji au sisi
Nape ndo alivyo... na bahati mbaya sana wengi wanaopitia uvccm ndivyo walivyo. Wakipata vyeo wanajimwambafy na kujihisi kuongezeka akili!Au kuna mtu kahack account ya mheshimiwa?
Ndo maana ni waziri wa hovyoNape ndo alivyo... na bahati mbaya sana wengi wanaopitia uvccm ndivyo walivyo. Wakipata vyeo wanajimwambafy na kujihisi kuongezeka akili!
Siyo kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja. ni kwa taasisi kama mashule, vituo vya police etc.Mmmm lakini starlink sio rafiki kwa 99% watanzania walio wengi..$ 250 mwezi wengi hatuweziii
Kuna shida sana kwenye kulipa hizo amount ....kuna project za ßhule kufundisha kwa vinfamuzi ...tv set solar ...mwezi 50k tu ...wataweza access masomo kupitia vifaa hivyo imeshindikana nani atalipia hizo .....50k sembuse hizo laki zote plus package inaisha sio unlimited? .....satellite solution sio ya wanyonge....fanya utafiti zaidiSiyo kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja. ni kwa taasisi kama mashule, vituo vya police etc.
Kama una shida mtandao nenda ttcl nenda halotel nenda voda....wata connect popote ulipo tanzania hii....satellite hizo sio size yako ....nakuambia kwa uzoefu....usifuate mkumbo watz wabishi sababu .....kila kitu siasa tu...Wewe unajiwaza mwenyew tu kuna watu wana maofisi weengi tuu wanahitaji speed ya kupakuwa vitu mtandaoni , shida si gharama shida ni efficiency na options kwani kamaa hatuwezi nani atapata hasara mwekezaji au sisi