Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Jinsi ambavyo serikali hii na viongozi wake wanavyotutendea, ni kana kwamba wanatulipizia kisasi!
Huyu Nape huenda huwa anatuchukulia sisi kwamba ndo tulimshauri Hayati JPM amtumbue na yule jamaa amnyooshee bastola.
Maana naona wengi ni wanatufokea tu raia kuanzia wabunge hadi hawa mawaziri uchwara
 
Ndo maana ni waziri wa hovyo
 
Kuna ukweli huwa hatutaki kusema .....starlink sio kwa watanzania walio wengi nevsr ....tupambane bundle zetu hizi hizi kule hatuweziii hataaa....nakwambia mm mdau huko piaaa
Wewe unajiwaza mwenyew tu kuna watu wana maofisi weengi tuu wanahitaji speed ya kupakuwa vitu mtandaoni , shida si gharama shida ni efficiency na options kwani kamaa hatuwezi nani atapata hasara mwekezaji au sisi
 
Kabisa safi sana naunga mkono hoja
 
Siyo kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja. ni kwa taasisi kama mashule, vituo vya police etc.
Kuna shida sana kwenye kulipa hizo amount ....kuna project za ßhule kufundisha kwa vinfamuzi ...tv set solar ...mwezi 50k tu ...wataweza access masomo kupitia vifaa hivyo imeshindikana nani atalipia hizo .....50k sembuse hizo laki zote plus package inaisha sio unlimited? .....satellite solution sio ya wanyonge....fanya utafiti zaidi
 
Wewe unajiwaza mwenyew tu kuna watu wana maofisi weengi tuu wanahitaji speed ya kupakuwa vitu mtandaoni , shida si gharama shida ni efficiency na options kwani kamaa hatuwezi nani atapata hasara mwekezaji au sisi
Kama una shida mtandao nenda ttcl nenda halotel nenda voda....wata connect popote ulipo tanzania hii....satellite hizo sio size yako ....nakuambia kwa uzoefu....usifuate mkumbo watz wabishi sababu .....kila kitu siasa tu...
 
Back
Top Bottom