Watanzania ujinga ni asili wanadhani $250 ....ndogo ? Mshahara wa gradiaye huo eti ukalipie internet ....satellite ....wakati bundle za buku 2 zimejaa....tunapenda tu kupuga siasa na ubishi bila facts...Ujinga ni kipaji! Sasa si muwape kibali then watakimbia wenyewe watapokosa wateja.
Tumeishi na iyo mitandao toka tunazaliwa huduma zao mbovuuuuuu, we unaishi mjinii mzee kuna vitu ukiwa songwe utavisikia tu kwenye bombaKama una shida mtandao nenda ttcl nenda halotel nenda voda....wata connect popote ulipo tanzania hii....satellite hizo sio size yako ....nakuambia kwa uzoefu....usifuate mkumbo watz wabishi sababu .....kila kitu siasa tu...
Nape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Huyu jamaa unga anaouuza itakuwa kaanza kuuvuta, yule mwenzio kipindi kile skuli Morogoro tulikuwa tunagonga nae ganja ila pamoja na uhuni wake ana kaustaarabu kwa mbali sema tu ni mwizi! Ila huyu ustaarabu ni zero kabisa
Sasa ndugu yangu wewe afadhali hiyo mibovu lakini kwa vipato vyetu satellite utaisikia ....pia speed ndogo sana .....kenya zipo unaweza kuagiza laki 6 ...kila mwezi laki 5....utaweza ? Nakwambia watanzania huwa tunashupalia vitu bila utafitiTumeishi na iyo mitandao toka tunazaliwa huduma zao mbovuuuuuu, we unaishi mjinii mzee kuna vitu ukiwa songwe utavisikia tu kwenye bomba
Amewekwa na mafisadi analinda masilahi yao
Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
Makamba?Huyu jamaa unga anaouuza itakuwa kaanza kuuvuta, yule mwenzio kipindi kile skuli Morogoro tulikuwa tunagonga nae ganja ila pamoja na uhuni wake ana kaustaarabu kwa mbali sema tu ni mwizi! Ila huyu ustaarabu ni zero kabisa
Saiv kwenye tv hapa anapiga kelele kama paka la baa huyu ni waziri wa hovyo sana yeye na mama yakeAmewekwa na mafisadi analinda masilahi yao
Majangili ya nchi yamewaweka hapoSaiv kwenye tv hapa anapiga kelele kama paka la baa huyu ni waziri wa hovyo sana yeye na mama yake
Amini wapumbavu sana hawaMajangili ya nchi yamewaweka hapo
Kama IGP analipwa 21,000,000 na BARICK sijui, huwezi kuyatoa yamesimika miziziAmini wapumbavu sana hawa
Kbisa sisi wananchi tunateseka sana huyu mama nchi ishamshindaKama IGP analipwa 21,000,000 na BARICK sijui, huwezi kuyatoa yamesimika mizizi
Una akili finyu sana ,hiyo huduma inaweza kutumiwa na watanzania mfano hata mitaani huko watu au kaya kadhaa wanachangia na wanashare huduma ya internet ,maofisini ,kwenye taasisi kama vyuo ,mashule nk ambapo hawana huduma ya internet na huduma ambazo ni limited Kwa coverage hizi za mitandao yetu ya simu hazifiki locations zote Tanzania na huduma ni expensive ?,we huoni kwamba Tesla na hiyo huduma ya starlink watasolve matatizo matatu kwa wakati mmoja na hivyo kuleta tija kwa mtumiaji , 1 ) kuongeza accessibility ya internet 2) kuleta competitions Kwa local providers ambao wameweka na wasio na ubunifu hivyo kuchochea ubunifu kwenye sekta na hivyo kushusha hata bei za huduma hizi ambazo wamekuwa wakiabuse mtumiaji kwa kutoa huduma mbovu na gharama kubwa ? ,Internet coverage ni kitu ambacho ni muhimu kwa maisha ya sasa ,we kwa akili yako huoniSasa ndugu yangu wewe afadhali hiyo mibovu lakini kwa vipato vyetu satellite utaisikia ....pia speed ndogo sana .....kenya zipo unaweza kuagiza laki 6 ...kila mwezi laki 5....utaweza ? Nakwambia watanzania huwa tunashupalia vitu bila utafiti
Ingepungua hadi sh ngapi??Hamna ingepungua kaka na ndo huyo huyo anafanya leo tunauziwa bando gb 1 kwa elfu mbili miamoja
Laki mojaIngepungua hadi sh ngapi??
Nadhani hatuelewani....kwa heriUna akili finyu sana ,hiyo huduma inaweza kutumiwa na watanzania mfano hata mitaani huko watu au kaya kadhaa wanachangia na wanashare huduma ya internet ,maofisini ,kwenye taasisi kama vyuo ,mashule nk ambapo hawana huduma ya internet na huduma ambazo ni limited Kwa coverage hizi za mitandao yetu ya simu hazifiki locations zote Tanzania na huduma ni expensive ?,we huoni kwamba Tesla na hiyo huduma ya starlink watasolve matatizo matatu kwa wakati mmoja na hivyo kuleta tija kwa mtumiaji , 1 ) kuongeza accessibility ya internet 2) kuleta competitions Kwa local providers ambao wameweka na wasio na ubunifu hivyo kuchochea ubunifu kwenye sekta na hivyo kushusha hata bei za huduma hizi ambazo wamekuwa wakiabuse mtumiaji kwa kutoa huduma mbovu na gharama kubwa ? ,Internet coverage ni kitu ambacho ni muhimu kwa maisha ya sasa ,we kwa akili yako huoni
Acha kuwa na kichwa kikubwa kama papai akili kamasi