Una akili finyu sana ,hiyo huduma inaweza kutumiwa na watanzania mfano hata mitaani huko watu au kaya kadhaa wanachangia na wanashare huduma ya internet ,maofisini ,kwenye taasisi kama vyuo ,mashule nk ambapo hawana huduma ya internet na huduma ambazo ni limited Kwa coverage hizi za mitandao yetu ya simu hazifiki locations zote Tanzania na huduma ni expensive ?,we huoni kwamba Tesla na hiyo huduma ya starlink watasolve matatizo matatu kwa wakati mmoja na hivyo kuleta tija kwa mtumiaji , 1 ) kuongeza accessibility ya internet 2) kuleta competitions Kwa local providers ambao wameweka na wasio na ubunifu hivyo kuchochea ubunifu kwenye sekta na hivyo kushusha hata bei za huduma hizi ambazo wamekuwa wakiabuse mtumiaji kwa kutoa huduma mbovu na gharama kubwa ? ,Internet coverage ni kitu ambacho ni muhimu kwa maisha ya sasa ,we kwa akili yako huoni
Acha kuwa na kichwa kikubwa kama papai akili kamasi