Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Ujinga ni kipaji! Sasa si muwape kibali then watakimbia wenyewe watapokosa wateja.
Watanzania ujinga ni asili wanadhani $250 ....ndogo ? Mshahara wa gradiaye huo eti ukalipie internet ....satellite ....wakati bundle za buku 2 zimejaa....tunapenda tu kupuga siasa na ubishi bila facts...
 
Kama una shida mtandao nenda ttcl nenda halotel nenda voda....wata connect popote ulipo tanzania hii....satellite hizo sio size yako ....nakuambia kwa uzoefu....usifuate mkumbo watz wabishi sababu .....kila kitu siasa tu...
Tumeishi na iyo mitandao toka tunazaliwa huduma zao mbovuuuuuu, we unaishi mjinii mzee kuna vitu ukiwa songwe utavisikia tu kwenye bomba
 
Huyu jamaa unga anaouuza itakuwa kaanza kuuvuta, yule mwenzio kipindi kile skuli Morogoro tulikuwa tunagonga nae ganja ila pamoja na uhuni wake ana kaustaarabu kwa mbali sema tu ni mwizi! Ila huyu ustaarabu ni zero kabisa

Kipara knows the test of the sacred herbs?!

Ilisaidia nini sasa?

Portrays more of nyaupe consumer behavior.
 
Tumeishi na iyo mitandao toka tunazaliwa huduma zao mbovuuuuuu, we unaishi mjinii mzee kuna vitu ukiwa songwe utavisikia tu kwenye bomba
Sasa ndugu yangu wewe afadhali hiyo mibovu lakini kwa vipato vyetu satellite utaisikia ....pia speed ndogo sana .....kenya zipo unaweza kuagiza laki 6 ...kila mwezi laki 5....utaweza ? Nakwambia watanzania huwa tunashupalia vitu bila utafiti
 
Una akili finyu sana ,hiyo huduma inaweza kutumiwa na watanzania mfano hata mitaani huko watu au kaya kadhaa wanachangia na wanashare huduma ya internet ,maofisini ,kwenye taasisi kama vyuo ,mashule nk ambapo hawana huduma ya internet na huduma ambazo ni limited Kwa coverage hizi za mitandao yetu ya simu hazifiki locations zote Tanzania na huduma ni expensive ?,we huoni kwamba Tesla na hiyo huduma ya starlink watasolve matatizo matatu kwa wakati mmoja na hivyo kuleta tija kwa mtumiaji , 1 ) kuongeza accessibility ya internet 2) kuleta competitions Kwa local providers ambao wameweka na wasio na ubunifu hivyo kuchochea ubunifu kwenye sekta na hivyo kushusha hata bei za huduma hizi ambazo wamekuwa wakiabuse mtumiaji kwa kutoa huduma mbovu na gharama kubwa ? ,Internet coverage ni kitu ambacho ni muhimu kwa maisha ya sasa ,we kwa akili yako huoni
Acha kuwa na kichwa kikubwa kama papai akili kamasi
 
Nadhani hatuelewani....kwa heri
 
Back
Top Bottom