Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

Magufuli mwenyewe alinunuwa Meli ya mtumba kinyume na sheria, haikufanya kazi iliyotarajiwa hata siku moja, akawapa jeshi wafe nayo.

Umesahau?
 
Viliagizwa na kikwete kwa dili ,una swali lingine
Hapana, semeni kweli.

Yale mabehewa yaliagizwa na kampuni ya kihindi Iliyopewa kuendesha reli ya kati, kikwete kuwastukia na kuwatema, mabehewa yalipofika bandarini wao hawapo yakakosa mwenyewe.
 
Huyo mchawi wenu si ndo alinunua Bombadier za mtumba ilhali dheria inakataza?

Mmechanganyikiwa sana
 
Baada ya kusikiliza mswada na uchangiaji wa wabunge, binafsi siafiki kabisa ununuwaji wa mitumba. Tunajidharaulisha sana kama nchi.

Bogus kifungu kabisa, hicho cha mitumba. Ujinga wa hali ya juu.
 
Acha na sisi huku chini tuanze kununua mpaka pen used
 
Baada ya kusikil I za mswada na uchangiaj8nwa wabunge, binafsi siafik7 kabusa ununuwaji wa mitumba. Tunajidhqlilisha sana kama nchi.

Bogus kifungu kabisa, hicho cha mitumba. Ujinga wa hali ya juu.
Mkuu kwani unaandika ukiwa wapi?
 
Huyu madelu ashahakikishiwa percent yake.

Ila kwa kweli inashangaza sana, unajenga mradi wa matrilioni unakuja kuuendesha kwa vifaa vya mitumba! Shame on .......
Madelu katika ubora wake !! hutaki tangulia Burundi.
 
Magufuli mwenyewe alinunuwa Meli ya mtumba kinyume na sheria, haikufanya kazi iliyotarajiwa hata siku moja, akawapa jeshi wafe nayo.

Umesahau?
Ndege Dreamliner ni mtumba? Meli inayojengwa Mwanza ni mtumba? Ebu jaribu kutumia akili basi
 
Kwani sheria inaletwa bungeni kabla ya kubarikiwa na baraza la mawaziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…