Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Hakuna siasa za kigaidi kuna hujuma dhidi ya serikali na tamaa za kulee Kaskazini.
 
Hakuna siasa za kigaidi kuna hujuma dhidi ya serikali na tamaa za kulee Kaskazini.
Huo ukasikazi umagharibi ni inferiority complex, ni dhana mfu kabisa. Wakanda nyingine tusipobadilika na kuthamini elimu tutaendelea kulalamika. Wenzenu wapeleka watoto shule zikitangazwa kazi wakiomba mia , thelathini wanatoka huko mbategemea nini. Kuanzia sasa nikisikia dhana ya kaskazini naanza kuchambua udhaifu Wa kila Kanda.
 
CCM siku mkiwapoteza ndugu zenu mtaelewa Kama ni Wahalifu au la!!! Tangu lini mhalifu akapotezwa??
 
Tunapo elekea, huyu kijana asipo dhibitiwa atakuja kusema kwamba WATU WANAO UWAWA NI MAJAMBAZI, kama sio wezi.... tehteehhh
 
Dj sepetu ndio huyu ninayemfahamu aliyekuwa anawek watu kikaangoni, sikujua ka ni mpumbavu namna hii, nilikuwa napenda sana nyuzi zako, sijui umelishwa nini
Amerudi CCM akili akakabidhi kwa pole pole yeye akabaki anatembea na kopo tu!
 

Wacha kutuletea hadithi za kutembeza mwenge kumulika mchana. Hivi wale waliotekwa kule Pemba na Yule mzee aliyechukuliwa na mazombi na kuteswa na baadaye kufariki hao polisi wako si waliarifiwa na kupewa ushahidi wa namba za magari na wamiliki wao, ni kipi walichokifanya??
 
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.

Vyombo husika gani unavyovisema? Vyombo vinavyovamia nyumba za ibada na kukamata watu then husikii waliokamatwa walipo?
 
Mwigulu cheo ni dhamana hiki cheo si dhamana yako
Unatutania na kutudharau sana WaTz
Unasema ati???????
Huna huruma na hawa wanaokotwa?
So kwa sababu wanajihusisha na biashara haramu ni halali yenu kuchukua uhai wao
Wafanyabiashara wa hii kitu mnawajua na ni maswahiba wenu
Uwe na busara na hofu ya Mungu Mwigulu (if it's you real name)!
 
Nakumbuka tu alitakaga kuwa rais,alitangaza nia na tantalila nyiingi.
 
Nilishamuona wa kawaida sana kichwani pale alipojibu viroba vinatoka Afrika kusini nimedharau hadi Elimu yake maana mambo ya msingi anajibu kirahisi rahisi tuu....
 
lame excuses
 
Tbc ndio mdudu gani huyo tena?
 
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
Hivi vipi wale walio mshambulia Lissu walishakamatwa?
 
Ujinga una gharama kubwa sana. Haya yote yatakapokuja kuondolewa athari yake kwa jamii itakua kubwa
 
Kama ni kweli kaongea hayo maneno, basi ni kauli ya kijinga kabisa kuwahi kutolewa na kiongozi mwenye dhamana kama yake ya uwaziri wa mambo ya ndani, ambaye ni msimamizi wa vyombo ya dola vyenye majukumu ya kusimamia haki na usalama wa wananchi wote, hata wahalifu, ndo maana hairuhusiwi kujichukulia sheria mkononi bila ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani.(due process), waziri wa mambo ya ndani mwenye doctorate, hajui hata maana ya due process? Na akisema wamepotea kwasababu ya kukimbia kwakuwa ni wahalifu, je hiyo ndo inamaanisha kitu gani? Kwamba hawatakiwi kutafutwa au kuhojiwa upoteaji wao au mazingira yake? Kwani nani hafahamu kuwa kumeshawahi kuwepo ubambikizaji wa kesi na ujambazi? Hata Kombe si aliuwawa kwa kuhisiwa kuwa ni jambazi?
Je Mwigulu ana ushahidi kuwa hao watu ni majambazi au wahalifu? Walifikishwa mahakamani au ni watuhumiwa tu?

Ndo huyu mkuu aliyepata doctorate naye hivi majuzi! Mradi tu aitwe doctor halafu apitishwe na mfumo ovu wa ccm kugombea urais. Just cheap cheap tu, uwezo wao mkubwa ni uwizi, halafu kununua tu silaha za kujilinda dhidi ya wananchi ambao wameshawachoka loong time. Na kuongeza kundi la wajinga wenye kufikiri kwa kutumia tumbo or some other things! Pamoja na dola ambayo hadi sasa inaendeshwa kwa misingi ya kikoloni na kifashisti.
[HASHTAG]#hovyokabisa[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…