Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Hawakawii kumuingiza Azory kwenye list ya madawa ya kulevya kama Bashite alivyowatisha kina Soudy Brown.
 
Reactions: SDG
CC
Mwigulu Nchemba
 
Na ndio wezi na mafisadi wakubwa ndani vyombo vya umma
Kaenda gani sio wezi , anza list ya meremeta, escrow, EPa, credit import support?. Na awamu hii mkiendelea kujenga maghorofa mkascha kupeleka watoto Harvard mtarudi kulalamika.
 
Kaenda gani sio wezi , anza list ya meremeta, escrow, EPa, credit import support?. Na awamu hii mkiendelea kujenga maghorofa mkascha kupeleka watoto Harvard mtarudi kulalamika.
Awamu ukiiba bora ule sumu. Nyie ni wezi wakuu. Na sasa mmerundikana hukooo kuhujumu nchi ili mpate madaraka muibe vizuri
 
Ina maana Waziri amehalalisha watu kupotea?
 
ok baadhi ya waliopotea ni wahalifu,na wengine siyo wahalifu, tupeni mrejesho wa wale wasokuwa wahalifu.
 
Naona tutakutana tu the Hague some day
 
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
Jibu zuri sana kwani hata mandishi yanasema mjibu mtu upumbavu kutokana na upumbavu wake.wanataka kila wazo wanalolifikilia au kuhisi wao liwe light Kwa manufaa na mtaji WA chama chao chenye uwingi WA kabira furani na kimefanikiwa kuwakamata makasisi WA dhrhebu frank lenye kasisi machachali na ni kabira moja na wahasusi WA chama chao.acheni hizo.
 
Wajinga sana hawa
 
Huyu naye jingalao wa wizara ya mambo ya ndani ni fala tu huwa sitamani kumuona ............
 
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
Unajua Mda Mwingine Na question ur credibility ya kufikiria inakaa ni ndgo Sana Ni Lini hyo Serekal Imekuja Na majibu Yalio Jitosheleza Au kutuletea wahusika Wazi tukawafahamu wa matukio Ya utekaj Au Mauaji yanayoendelea Nchin
 
Ni list? Mwehu nini? Wangwe alikuwa na document kutaka kuhoji akaishia njiani. Yule aliyepotea alikuwa anajua siri za boss akapotezwa,unaniambia ni list na operation squad yenu unijua?
 
Vipi ndio story za kwenye kahawa hizi. Vipi wana immunity hawawezi kamatwa?
Ni list? Mwehu nini? Wangwe alikuwa na document kutaka kuhoji akaishia njiani. Yule aliyepotea alikuwa anajua siri za boss akapotezwa,unaniambia ni list na operation squad yenu unijua?
 
wakati wakipeleka taarifa zao nao wakipotezwa itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…