Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Am not here! For such! gel! Ma drift? By de way waj'dat B'A English to me?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]



Tuchat kwa kiswahili bana unaandika uharo

Unajiona na wewe Blaq America
 
Huyo aliekuja kukusanya Kodi Hadi anakufa ;

1. Hakuajiri Kama awamu ya 4
2. Hakuongeza madaraja watumishi
3. Hakuongeza mishahara watumishi
4. Alipunguza vyeti feki ila hakuajiri kuziba pengo
5. Alikopa zaidi ya awamu zote
Mkuu ni kweli JPM hakuajili sana na kuongeza mshahara lakini alikuwa na lengo la kujenga nchi kwanza, alijua namna ya kuwabana wafanyabiashara wakubwa ili Kodi ipatikane na amefanya mengi kwa kutumia Kodi hizo Kama ujenzi wa barabara, madaraja/flyovers, miundo mbinu ya Afya, miradi ya maji, Usambazaji umeme vijijini na miradi mikubwa kabisa SGR na Bwawa la umeme la Rufiji.

Yote hayo yamefanyika bila watu maskini kuumizwa katika kulipishwa Kodi Kama inavyotokea Sasa hivi.


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Flyover gani imejengwa kwa fedha za ndani ?

Hebu fuatilia Mambo acha kuleta blabla hapa.
 
It's better you use Swahili language to write your nonsense but understandable than using Overseas language confusedly
Always jobless! monkeys w'll end up onto comfusions. no way out!!
 
Mtakoma mwaka huu ni wenu
Watakoma kina nani sasa?

Bado mtanena sana kwa lugha!

Tukikuwa tunawacheki tu mlipokuwa mnamdemkia eti anaupiga mwingi!

Hivi Malisa bado anatoa vile vi makala vyake uchwara vya kumsifu mama kwamba anawaokomoa mataga kiakili?

Na bado nyumbu nyie
 
Kusema ukweli Mama Samia amezingua kweli hili. Watu sio kwamba hawataki kuchangia cha msingi ongezeko lingekuwepo si kwa kiasi kile.
Serikali inapendekeza bunge linapitisha mbona tunawashambulia upande mmoja Kama wabunge wa jpm hawahusiki[emoji23]
 
Braaa!! Off!!! to ya! fellow Monkeys in de jungle!! Do'n ever try to inter feer ma flows once again Ok!! Bye moron!!!!
 
Nonsense
 
Braaa!! Off!!! to ya! fellow Monkeys in de jungle!! Do'n ever try to inter feer ma flows once again Ok!! Bye moron!!!!
You neither Know Swahili Nor American Slang. Just mumming how stupid and insane you're.
 
Ooh! Yeaar Dei' are ma bro men!
Hahaha watu tunaongea Colloquial ya England kutokea Mitaa ya Borough na hatujitapi na Wala hatuwezi kuandika humu.

Ila wewe hizo slang kwanza huzijui unajifanya unajua, nikianza kukuandikia hiyo slang sidhani hata Kama uta reply.

Kiingereza hujui, Rudi shule. Nakushauri uwe unatumia kiswahili kabla hujaiva na kuwa mkomavu wa Kiinglishi otherwise unajiaibisha.


[emoji3][emoji3]
 
You neither Know Swahili Nor American Slang. Just mumming how stupid and insane you're.
Ma! meen! waja mean? Are 'u out of sense? Ja know who am I,? In connection where u'r speakin' from?

Oooh!! yaaa!!!! just specuration!!!
 
Ma! meen! waja mean? Are 'u out of sense? Ja know who am I,? In connection where u'r speakin' from?

Oooh!! yaaa!!!! just specuration!!!
Eti Specuration [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni mkurya nini

It's Speculation wewe tabulasa why do you force writing language you are not capable with ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…