cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Dar - kunyumba niyuwini 55k, tumalike mlongo [emoji23][emoji23][emoji23]Dar Moro tayari... toka 7,000/- hadi 8,000/-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar - kunyumba niyuwini 55k, tumalike mlongo [emoji23][emoji23][emoji23]Dar Moro tayari... toka 7,000/- hadi 8,000/-
Dis forum is mine! Why are u here? U'r here b/se I'am!!Who told you to that..?? If u want to provide your bullish go n start your own thread. Batman head
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manyoko zako na wote waliokutuma
Ennaa... 55k hadi Songea, Mbinga sasa nadhani itakuwa 60k.. Titama konikoni kumbwani tuDar - kunyumba niyuwini 55k, tumalike mlongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kuandika hujui......Ripa kodi wacha janja ya jiwe. Aliwalea Tunakuja huko. Hatuna huruma sisi.af tunakupa muda ukachume.
Mama wepeleke!! Wapelekeeee!! Usiogope!!!
Ni hatari sn, ifike sehemu tuamke tudai haki zetuKuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.
Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.
Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.
Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.
Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Sio tatizo lake anatokea kanda maalumHata kuandika hujui......
ww ni kichaa
Mau huyu mbona akuti tinganya vana vake vene, niwanzi kumkumbuka dadi witu wa wanyonge.Ennaa... 55k hadi Songea, Mbinga sasa nadhani itakuwa 60k.. Titama konikoni kumbwani tu
Kamwe huyo hatakaa aweze kukumbwa....................................... Maana ile ilikuwa bomu la kutupwa kwa mkono kabisaMama Anaupiga Mwingi sana. Tutamkumbuka Mwenda zake.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Dada vua!!! Mwandiko...Hata kuandika hujui......
ww ni kichaa
this is JF halooowe ropoka tu eti ujinga!! mtatia akili tu subirini. Sisi hatuwafungi ila fanyeni kazi.
Mtasema wenyewe kwa hiari yenu kuwa tuna akili.siku moja.
Hatuangalii sura!! Jua kuwa ngoma bado mbichi hamueleweki mnataka nini sasa....eb subiri.....arrohooo!! mwita weeee....nj!!oooo huku kuna majitu.....
kwani kanda maalumu ugonjwa??
Nabishana na punguani....Dada vua!!! Mwandiko...
Ukiniona kichaaa umenikubali!! Watu wote wenye akili mingi Km mimi waliitwa vichaa!!
Nikianza na Yesu Baba lao!! Aliitwa kichaa ajili ya hoja ngumu.
Wengine...endelea...
Uzuri gani ulionao, kibwenye chote umekeketwa, labda ufukuliwe mtarokwani kanda maalumu ugonjwa??
Kwanza kuna
maziwa
Asali
Michezo
Wake wazuri km mie kwani unanionaje haf najitambua.
Haina ubishi
Nina wasiwasi hii Tozo Kwa ajili ya kulipa madeni Kwa wanao idai serikali Mfano wakandarasi n.kKuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.
Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.
Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.
Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.
Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
hiiiiiii bhagoshaaa dadi wa wanyonge agonile ku chattle asilamuka kiama agonile forever!Mau huyu mbona akuti tinganya vana vake vene, niwanzi kumkumbuka dadi witu wa wanyonge.
If!! up to dis gesture u tink' am arguing. U'r totally nicampoop!!Nabishana na punguani....
keep your struggle elsewhere...
Ooooh!!! Sizitaki mbichi hizi na bado... najitambua mie!!! tena hasa!!Uzuri gani ulionao, kibwenye chote umekeketwa, labda ufukuliwe mtaro
Sent using Jamii Forums mobile app
K yote ulisha katwa ikatupwa huko vichakani umebaki na nini dada, ? Yaani unachekesha, nyie ndio mnatuongezea laana kwenye nchi hadi kodi zinapanda hovyo hovyoOoooh!!! Sizitaki mbichi hizi na bado... najitambua mie!!! tena hasa!!
Labda nikuambie kitu. huna km mimi na kamwe hutampata!!Najijua mnoooooo!!! Baba weee usicheze na hii chata.
km unae mweke hapa tumchambue bull shit!! Usicheze wewe najitambua!!
Tako utaliweza wewe na maneno dhaifu hivi?? Mweee!! Na wewe si unalo? Au.....basi jifaidi kwanza weye...
Hata mbagala tu hapo kwa mwandiko huu hupati nakuhakikishia!!!
Weka picha km una mrembo!!