Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Ni hatari sn, ifike sehemu tuamke tudai haki zetu
 
Hata kuandika hujui......
ww ni kichaa
Dada vua!!! Mwandiko...

Ukiniona kichaaa umenikubali!! Watu wote wenye akili mingi Km mimi waliitwa vichaa!!

Nikianza na Yesu Baba lao!! Aliitwa kichaa ajili ya hoja ngumu.

Wengine...endelea...
 
we ropoka tu eti ujinga!! mtatia akili tu subirini. Sisi hatuwafungi ila fanyeni kazi.

Mtasema wenyewe kwa hiari yenu kuwa tuna akili.siku moja.

Hatuangalii sura!! Jua kuwa ngoma bado mbichi hamueleweki mnataka nini sasa....eb subiri.....arrohooo!! mwita weeee....nj!!oooo huku kuna majitu.....
this is JF halooo
😂😂😂😂😂😂
 
Dada vua!!! Mwandiko...

Ukiniona kichaaa umenikubali!! Watu wote wenye akili mingi Km mimi waliitwa vichaa!!

Nikianza na Yesu Baba lao!! Aliitwa kichaa ajili ya hoja ngumu.

Wengine...endelea...
Nabishana na punguani....
keep your struggle elsewhere...
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Nina wasiwasi hii Tozo Kwa ajili ya kulipa madeni Kwa wanao idai serikali Mfano wakandarasi n.k
 
Uzuri gani ulionao, kibwenye chote umekeketwa, labda ufukuliwe mtaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh!!! Sizitaki mbichi hizi na bado... najitambua mie!!! tena hasa!!
Labda nikuambie kitu. huna km mimi na kamwe hutampata!!Najijua mnoooooo!!! Baba weee usicheze na hii chata.

km unae mweke hapa tumchambue bull shit!! Usicheze wewe najitambua!!
Tako utaliweza wewe na maneno dhaifu hivi?? Mweee!! Na wewe si unalo? Au.....basi jifaidi kwanza weye...

Hata mbagala tu hapo kwa mwandiko huu hupati nakuhakikishia!!!
Weka picha km una mrembo!!
 
K yote ulisha katwa ikatupwa huko vichakani umebaki na nini dada, ? Yaani unachekesha, nyie ndio mnatuongezea laana kwenye nchi hadi kodi zinapanda hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom