The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
👇Kwa Sasa imefika 71 trillion si IMF wametupatia 2 Trillion.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👇Kwa Sasa imefika 71 trillion si IMF wametupatia 2 Trillion.
Vyanzo ni vipi sasa? Maana hali halisi huku mtaani, ukiacha Filling stations na Malls, hakuna mwingine anayetoa receipts, na hata hizo za Filling stations, nyingi hazipo kwenye mfumo hivyo ni geresha!Mama Kwa mwezi ni 1.8Til..
Umeongea kitu cha mingi sana mkuu, "ustawi wa maisha". Utaogopaje madeni, mapesa yako huko duniani ni ya kuchukua tu. Kesho itajisumbukia yenyewe.Pesa ndogo Sana hiyo yaani Nchi itachekewa Sana kuendelea kama tunaogopa Kukopa..
Tuna Uchumi mkubwa kuliko Nchi nyingi za Africa lakini wenzetu wamekopa na Wana deni kubwa kuliko hilo na wako mbali kwenye ustawi wa maisha.
Wewe ndio hutoi tisiti usisingizie vingine..Vyanzo ni vipi sasa? Maana hali halisi huku mtaani, ukiacha Filling stations na Malls, hakuna mwingine anayetoa receipts, na hata hizo za Filling stations, nyingi hazipo kwenye mfumo hivyo ni geresha!
Nimewahi kujipinda kuripoti receipt moja, kimyaaaaa!
Vyanzo vipya ni vipi?
Ni wajinga na wasiojielewa na maskini ndio huogopa Kukopa na ndio maana wanaishia kuwa maskini wasio na nidhamu ya pesa..Umeongea kitu cha mingi sana mkuu, "ustawi wa maisha". Utaogopaje madeni, mapesa yako huko duniani ni ya kuchukua tu. Kesho itajisumbukia yenyewe.
Yesu ni Bwana
Wakubwa wanapiga simu moja tu na kuachiwaWewe ndio hutoi tisiti usisingizie vingine..
Pia serikali inategemea Kodi kwa walipaji wakubwa sio nyie machinga,wale wakubwa wasipotoa risiti ndio serikali itakosa pesa..
Pia elewa kwamba biashara zimeongezeka Sana,mama sio sawa na yule mshamba.
Hakuna kitu kama hicho,mtaje mkubwa yeyote aliyepiga simu na kuachiwa..Wakubwa wanapiga simu moja tu na kuachiwa
Halafu hayo mazao tuyafanye "for export only" sio? good idea.Turuhusu kilimo cha bhangi, mirungi, Coke na opium, Serikali ikope ianzishe na kuboresha mashamba, ndani ya mwaka tu Tanzania itakuwa ni nchi ambayo haina deni kabisa..
Jiwe hahusiki na uchafu huu..Hizo ni hera za deni la serikali ililloacha kuchangia pspss miaka ya nyuma..Soma ueleeNimependa hiyo idea ya serikali kunfliat bond Ili kupata pesa za kulipia madeni ya mifuko ya jamii vinginevyo ingekolapse na kushindwa kulipa mafao..
Jiwe alitufanya vibaya sana hapa Tanzania.
Nape, Mbowe, Lissu ,Zito, Lema wako bize kulamba asali hawatahoji chochote.
Siku moja mtamkumbuka Ndugai
Ndio ujue wavuta bangi huwa tunaona mbali i mean sisi na ndugaiHuo uhimilivu ambao Huwa unasemwa na wataalam wetu Huwa siuelewi kabisa,
Makusanyo kwa mwezi 1.3t, kuhudumia deni la taifa ni zaidi ya 700b, MISHAHARA ni 600b na zaidi, Bado fedha ya maendeleo, na matumizi mengineyo. Hivi hatuoni kwamba Kuna kipindi makusanyo yote yataenda kuhudumia deni la taifa na kutuacha bila hata ya vitumbua na ya kula kwa urefu wa kamba hizi tulizofungwa...........!
[emoji1787][emoji1787]Ndio ujue wavuta bangi huwa tunaona mbali i mean sisi na ndugai