Waziri Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa lafikia Tsh Trilion 69.44

Amesema taarifa ya tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Novemba 2021 inaonesha kuwa deni la Serikali bado ni himilivu katika kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu kwa kuzingatia ukomo wa viashiria vyote
Viashiria gani hivyo?
 
Kamati ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali kupima uhimilivu wa deni kwa kutumia kiashiria cha makusanyo ya mapato ya ndani kwa ulipaji wa deni.Ushauri huo umewasilishwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Daniel Sillo, Bungeni Dodoma.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom