The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Jiwe hahusiki na nini? Jiwe alifilisi mifuko ya jamii akachukua pesa akapeleka kwenye sgr na ndege na Bwawa..Jiwe hahusiki na uchafu huu..Hizo ni hera za deni la serikali ililloacha kuchangia pspss miaka ya nyuma..Soma uelee
Ili kuiokoa na kufilisika akaiunganisha..Baba yangu alikaa miaka 3 baada ya kustaafu ndio kapewa mafao napo walimpunja tukafuatilia zaidi ya miaka 2 ndio alikuwa kulipwa..
Ishu kubwa ilikuwa ni pesa hakuna.Kws hiyo Ili kuiokoa ndio maana Serikali imeamua itoe hizo bonds Ili wapate pesa wazilipe kwenye mifuko ..
On top of that miradi mingi ya mifuko kama majengo ya biashara,mall nk yalikosa wapangaji baada ya Jiwe kuvuruga Uchumi..
Naandika jambo ambalo Nina ufahamu nalo.