hilo litakuwa anguko la kiuchumi mkuuMpaka tunafunga mahesabu awamu ya sita deni litakua trilioni 300.
Na dola moja itakuwa sawa na Shilingi elfu nane za kitanzania. 1$ = Tshs. 8000.
Viashiria gani hivyo?Amesema taarifa ya tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Novemba 2021 inaonesha kuwa deni la Serikali bado ni himilivu katika kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu kwa kuzingatia ukomo wa viashiria vyote
Hawezi kukuletea hivyo viashiriaViashiria gani hivyo?
Mliwanyima platform ya kutolea hoja. Huwa hoja za mitandaoni hamzijali.Nape, Mbowe, Lissu ,Zito, Lema wako bize kulamba asali hawatahoji chochote.
Siku moja mtamkumbuka Ndugai
Na kusema huu mwanzo wa kupigwa, ni mwiko! Nchi ngumu kweli hii au Mimi sielewi maana ya ugumu?Hawezi kukuletea hivyo viashiria
Sasa hivi wamenyimwa platform?Mliwanyima platform ya kutolea hoja. Huwa hoja za mitandaoni hamzijali.
SawaKamati ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali kupima uhimilivu wa deni kwa kutumia kiashiria cha makusanyo ya mapato ya ndani kwa ulipaji wa deni.Ushauri huo umewasilishwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Daniel Sillo, Bungeni Dodoma.