Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Emancipate yourselves from mental slavery..non but ourselves can free our minds -Bob Marley
For how long shall they kill our economy, while we stand aside and look...!

Redemption song,
This song of freedom
 
Kukopa kwa siri kunatia shaka.
Mikopo ikipita bungeni sio Siri
Bunge ni wananchi
Wabunge wanawajibu kuwaambia wananchi serikali yao inafanya Nini

Afadhali kukopa kwa Siri kuliko kukopa kwa fujo Kisha kula Bata na kununua madawati
 
Mkuu ndiyo maana wanasema tenda mema ukiwa hai ili ukisepa watu wakuongelee mazuri. Hata Nyerere mpaka leo anaongelewa, ishu ni kuwa unaongelewa kwa mabaya au mazuri. Jiwe alikuwa muuaji na muongo sana ndiyo maana anaongelewa kwa mabaya.
Chadema wanamkumbuka kwa mabaya!

Huku mtaani Raia wanaendelea kumkumbuka kwa mazuri

Sijui nawe utakumbukwa kwa lipi, changa karata zako mapema
 
Kwa upande wa makusanyo kushuka chanzo cha data zako ni nini?
Acha uongo.

TRA wanazungumzia kuvunja record wewe nae unakuja na yako.

Zungumzia kukopa labda utakuwa na ufahamu maana mama Hana siri anaweka wazi mikopo yake.
Mkopo uliowazi una nguvu ya kujenga uchumi kuliko mkopo ambao hauko wazi?
 
Mzee tulikuwa hatuna shaka nae…maana aliingia kwa sera ya kubana matumizi ili tujenge nchi alifanya hivyo kwa vitendo na maneno makali na tulipomtizama machoni tukamuamini…kwahio alipokopa tuliamini inaenda kutumika ipasavyo…
Miradi yote ilioachwa na hayati ameiacha ikiwa bado hatua za awali kabisa,mind you hayati hakuacha pesa ya hii miradi,hemu eleza mpaka sasa ni mradi gani mfano kwenye hii miradi mikubwa miwili ie umeme wa nyerere na treni ya umeme ni upi umekwama kwasababu ya pesa?
 
Zile pesa zilikua za covid relief fund na hazina riba, sasa tr 1 utajenga reli kilometa ngapi alafu utakua umemsaidia vipi mwananchi kuondokana na athari za covid? Bwawa la umeme umesha ambia malipo yalisha kamilika. Watanzania daa
Wangeacha wakatafuta mkopo kumalizia reli yetu na umeme wetu fasta, tukaanza kula Bata huku uchumi unapanda taraatiiiibu
 
Tunaongelea kwamba amejenga nchi zaidi ya JK aliyekaa madarakani kwa miaka 10
Kama Jakaya angekuwa na kasi ya ukopaji kama hayati hakuna jambo lingeshindikana.Sasa kwa muhula mmoja amekopa pesa ambazo mtangulizi wake amekopa kwa mihula miwili kipi cha ajabu?
 
Miradi yote ilioachwa na hayati ameiacha ikiwa bado hatua za awali kabisa,mind you hayati hakuacha pesa ya hii miradi,hemu eleza mpaka sasa ni mradi gani mfano kwenye hii miradi mikubwa miwili ie umeme wa nyerere na treni ya umeme ni upi umekwama kwasababu ya pesa?
Hakuacha pesa ya miradi hiyo, huyu alikuta inaendelea ama imesimama sababu hakuna hela?! Kama ilikuwa ikiendelea, Walikuwa wanaendelea bila pesa?? Fikiri kabla ya kusemasema.
 
Mwigulu anajaribu kuepusha lawama, hizo pesa naamini ni za mkopo lakini kwasababu anajua walishaambiwa kukopa sio sifa wakamsuta aliewaambia, matokeo yake ndio haya anachanganya maneno "mkopo" na "msaada" kwenye sentensi moja.

Haya ndio matokeo ya kujibu hoja kwa mipasho, kama ile hoja ya Ndugai ingejibiwa vizuri watu waridhike leo Mwigulu asingekuwa na hiki kigugumizi cha kuandika, lakini kwasababu waliamua kumsuta, sasa ndio wanaishi kwa hofu, mwisho wa ubaya....
Hivi wewe ukipewa nchi uiongozr utaweza ? Kwani ukikaakimya uache wafanye wanavyotaka unatumia nini maana hata ukisema hawakusikiluzi nakulipa wao ndiyo wanaumiza kichwa kulipa ulishaombea Hela yakulipa deni wewe?
 
Kama Jakaya angekuwa na kasi ya ukopaji kama hayati hakuna jambo lingeshindikana.Sasa kwa muhula mmoja amekopa pesa ambazo mtangulizi wake amekopa kwa mihula miwili kipi cha ajabu?
JK alikuta fedha hadhina ambazo Mkapa aliacha, ikamsaidia kutokopa Sana

Na tushukuru hakukopa Sana Kama JPM maana angeshindwa kuzitumia
Zote zingeliwa na wazee wa vijisenti
 
Nimesahau kumbe watoto mpo likizo,
Jiandae tar 17 mnarudi shuleni.
Wazee akili zinashuka Sasa, hayo yote ni tatizo la uchawa
Hakuna akili za kutafakari masuala ya Taifa kwa maslahi ya taifa, Bali kwa maslahi ya watawala

Uwazi sio hoja ya msingi ya kutetea ubora wa mkopo,
 
Mungu alipokasirika juu ya uovu wake na kumuondosha akaacha deni kubwa kwa Taifa. Sasa ndiyo tunalipa
kama tunalipa kwa kukopa tozo inatokeaje? Kazi ya tozo nini na imekaaje kikatiba na itaenda mpaka lini au ndo sheria
 
Tukope mpaka Ipigwe mnada hamna namna
Nashauri chifu angeanzisha wizara ya mikopo chini ya kabudu kindakinda...ki
 
Back
Top Bottom