Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7.

Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa masharti nafuu (soft loan) katika kipindi cha miaka mitano ijayo, zitakazotumika kwenye miradi ya maendeleo sambamba na kuiwezesha sekta binafsi.

Hakuna mkopo mzuri kwa serikali wa miaka 5!!!. Ni ngumu kupata mikopo ya bank mizuri kwa nchi. Nchi zinatakiwa kuuza Government bonds au kukopa kwa bank maalumu za kukopa nchi na mikopo ni ya miaka 15-25 sio miaka 5!. Hii ndiyo sababu makusanyo mengi yanaenda kulipa madeni. Lakini hujaleta detail za mkopo wenyewe hapa
 
Wangeacha wakatafuta mkopo kumalizia reli yetu na umeme wetu fasta, tukaanza kula Bata huku uchumi unapanda taraatiiiibu
Bwawa lilisha lipiwa kutokana na maelezo ya raisi bado wao kutulipa kazi na unaachaje mkopo ambao hauna riba. Kumbuka watoto wa shule walikua wana ingia kwa awamu darasani sasa unajenga reli then hujasomesha ma engineers atakuja kutengeneza nani ziki haribika au madereva wawe wa china
 
CCM ni janga la Taifa
wakati wa uchaguzi watoto wa masikini wa nchi hii wanapeana majeraha na wakati mwingine kutoana uhai katika harakati za kuwasaidia hawa mbwa kuwa wabunge. naumia sana.
 
Kwa upande wa makusanyo kushuka chanzo cha data zako ni nini?
Acha uongo.

TRA wanazungumzia kuvunja record wewe nae unakuja na yako.

Zungumzia kukopa labda utakuwa na ufahamu maana mama Hana siri anaweka wazi mikopo yake.
Tumia akili makusanyo yameshuka ndiyo maana mama anajificha nyuma ya mikopo mikubwa,sasa kama TRA inakusanya zaidi ya magufuli mikopo mingi ya nini na tozo kubuniwa sisi tupo ndani sana tunajua kinacho endelea ,fedha za kigeni tulizo nazo kwa sasa ni pesa za mikopo ndiyo zimetunusulu la sivyo ingekuwa hatari ,watu kama nyinyi hamjui hesabu ni vigumu kujua kasi ya ukopaji ya mama sasa hivi tuna fikisa til 2.5 kwa mwezi kama tutapatiwa huo mkopo
 
Magufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?

Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.

Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.
Magufuli alikopa zaidi ya trillion 15 ndani ya mwaka mmoja?
 
Hivo hivo basi na mama yenu aongeze hiyo isiyozidi 20tsh.
Sasa ulivyokuwa unashabikia uchumi wa kati utadhani labda aliongeza hata dola 1, hata huyo mama hana uwezo huo, ni uchumi wa kwenye maneno tu lakini mtaani hali mbaya!!
 
FB_IMG_16420126854124869.jpg
 
Sasa ulivyokuwa unashabikia uchumi wa kati utadhani labda aliongeza hata dola 1, hata huyo mama hana uwezo huo, ni uchumi wa kwenye maneno tu lakini mtaani hali mbaya!!
JK zilimshinda nini hzo tsh20 kama unahisi ni kazi rahisi?? Magu alifanya yake kapita, tusiwe tunamzungumzia kiasi hiko wakat alishatembea zake.
 
Magufuli alikopa zaidi ya trillion 15 ndani ya mwaka mmoja?
Hakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.
 
JK zilimshinda nini hzo tsh20 kama unahisi ni kazi rahisi?? Magu alifanya yake kapita, tusiwe tunamzungumzia kiasi hiko wakat alishatembea zak
JK zilimshinda nini hzo tsh20 kama unahisi ni kazi rahisi?? Magu alifanya yake kapita, tusiwe tunamzungumzia kiasi hiko wakat alishatembea zake.
Tatizo lako unabisha tu bila facts!!wakati jpm anachukua nchi GNI, ilikuwa kwenye dola 1060, ina maana kutoka hapo kurudi nyuma kuna mchango mkubwa sana wa jk, jpm hapo ameongeza $ 20, na kufikisha 1080!!sasa inaonekana hata hujui unachotetea, !!kana kwamba meko ndio ametufikisha hapo, na ni kutokana na misifa yake!!lengo lake ilikuwa kufikia 2025, tuwe uchumi wa kati wa juu, kwa uongozi wake ule hiyo ilikuwa ni ndoto ya mchana, kwamiaka 5, ameongeza $20, je ndani ya miaka 5, iliyobakia hizo dola 120, zingewezekana?!!
Yule lazima atazungumzwa tu NYERERE, ana zaidi ya miaka 20 toka afe, bado anazunguzwa tu iweje huyo tena hata mwaka bado!!na huyo ndio atazungumzwa sana kutokana na ubaya mwingi aliowafanyia watu!!
 
Hakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.
Au mimi ndio cjaelewa nini maana ya ?, kwani inaonekana kama jamaa naye anauliza, sio kwamba anasema kuwa jpm, alikopa hizo pesa!!
 
M
Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7.

Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa masharti nafuu (soft loan) katika kipindi cha miaka mitano ijayo, zitakazotumika kwenye miradi ya maendeleo sambamba na kuiwezesha sekta binafsi.

Mwigulu usituchanganye. Naomba uwe mkweli. Huu ni msaada ama ni mkopo? Tangu lini mkopo ukawa msaada? Ni kweli soft loan in msaada? How soft is the loan?

Please tafadhali please uwe mkweli na unyooshe maeelezo kama umeamua kushare na watu. . Angalia sana mtu anayelilia moyoni.
 
Magufuli alikopa zaidi ya trillion 15 ndani ya mwaka mmoja?
Hakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.

Magufuli kwakukusaidia mkapa
Au mimi ndio cjaelewa nini maana ya ?, kwani inaonekana kama jamaa naye anauliza, sio kwamba anasema kuwa jpm, alikopa hizo pesa!!
Ni kweli hujaelewa,huyu mtoto amemaanisha kwamba mama Samia ameshakopa zaidi ya trln15 kwa mwezi.
 
Mzee tulikuwa hatuna shaka nae…maana aliingia kwa sera ya kubana matumizi ili tujenge nchi alifanya hivyo kwa vitendo na maneno makali na tulipomtizama machoni tukamuamini…kwahio alipokopa tuliamini inaenda kutumika ipasavyo…
Muslim's culture is different from Christian's culture.
Ujinga wa kuendekeza mavitu na kuwaacha raia hoi bin taaban siyo sera yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na utawafundisha wewe kila darasa [emoji28][emoji28] huna unachojua ni uchawa tu. Unafungua kiwanda huna man power? Trh 17 ni kesho tu, hayo madarasa mapya 1000+ ataingia mwalimu nani?
Kikwete wakati anajenga shule za kata maneno yalikuwa haya haya ya kiayawani,eti walimu watatoka wapi?.Leo ni miaka 10 tu imepita na tayari kunauhaba wa madarasa.Sasa unataka waanze kuletwa walimu kabla ya madarasa ya kufundishia,kwa hiyo hao walimu watafundishia chini ya miti?.Walimu wamejaa mitaani huko,ni suala la kuwaita tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom