Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

Ni yeye, kwani huoni hilo jina lake highlighted ??!---- swali ni je atakuja kujibu??
Hata asipojibu
Basi walau ujumbe aupate...

ama wahusika TRA,Wizara ya Fedha nk

warejee upya hii tozo
 
Mikeka mipya sio masihara [emoji28] wazee ni wakati wa kukabidhiana hela kwa mikono
Jana mida ya SAA 5:30 usiku nikaona kimeseji chao kinanitaharifu makato yanaanza Leo.nailichofanya ni kununua umeme wa kutosha miezi 3 na nikalipia bill ya maji nikalipa na madeni kwa watu waliombali ambao Leo nilitakiwa niwatie.
 
Tulikubaliana kwamba Mama karudisha furaha kwenye mioyo ya wananchi,sasa mbona tunaendelea kulilia kila baya lilikuwa la Mwendazake hivyo nikadhani kufa kwake kutaondoa haya yote.
 
Piga kelele lakini watanzania Ni wajinga kuanzia viongozi hadi raia wake. Na maviongozi ndiyo majinga namba moja yanachojua ni ulaghai tu na kuchota pesa kutoka wa wananchi Ila siyo kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi kila mwaka Ni kimuumiza mlaji wa mwisho tu.
 
Nawewe popoma ukiwa mmoja wao.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
I love this, na sasa tuko na gali ya Mondi
 
Nawaonea huruma vijana wezangu waliojiajiri kwenye tigopesa, mpesa n.k. kuanzia kesho wanaenda kukosa wateja kitu kitakachowafanya wafunge biashara zao au mitaji yao ife
Mimi situmi Tena Hela Wala kutoa Hela hovyo hovyo loh. Bora kubaki na kutoa tu bank
 
Mnyiramba Na waizara ya fedha wapi na wapi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo sahihi.

Jeuri na upuuzi vinashabikiwa kuliko mambo muhimu
 
We naye na Sabaya wako huchokagi tu. Kamsalimie jambazi mwenzio kisongo.
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Jana mida ya SAA 5:30 usiku nikaona kimeseji chao kinanitaharifu makato yanaanza Leo.nailichofanya ni kununua umeme wa kutosha miezi 3 na nikalipia bill ya maji nikalipa na madeni kwa watu waliombali ambao Leo nilitakiwa niwatie.
Miezi mi3 haitaisha sio?.

naona bado sio suluhu
Bali kuahirisha tu tatizo
 
Kwa hiyo replies zingekua nyingi zingesaidia bungeni kubadilisha huo mswada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…