Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ukishusha, watu wengi zaidi watalipa. Tena wangeishusha zaidi ili wapate zaidi.Amezungumza leo Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa Ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Hadi sasa mikioa ya Iringa,Dar es salaam,Mwanza,Mbeya na Mtwara
Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam
View attachment 3026702
Amandla...