Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

Kwa hiyo
-Manunuzi ya magari
-Mafuta
-Maintanance

Vyote Kwa pamoja hufanywa Kwa 560bln ni sawa na upuuzi wako ulisema zinatumika kununua magari ya LC 300 kama ulivyosema?

Mpaka hapo ulitaka Serikali iwe na magari ila yatajiendesha bila Mafuta na bila service? Ndio Serikali ya Machadema itakuwa? Huna akili ,na hiyo taarifa hakutaja CAG ni Waziri wa Fedha alitaka ,unaropoka na hujui unachoropoka.

Utter nonsense sasa ulitaka gari lijiendeshe bila service wala mafuta? Yaani unanunua gari kisha matumizi ya mafuta huyaingizi kwenye gharama za gari? Rudi shule wewe ,kweli sisiemu MABUMUNDA yamejaa POMONI.
 
Umeandika takataka,rudia kuandika upya ueleweke.

Na ujibu hoja zangu hapo,Je ni wapi CAG amesema bil.600 zinatumika kununua magari kila mwaka, vinginevyo nitakuacha ujadiliane na punguani wenzako.
 
Yeye za kununulia Mabasi anazitoa wapi kama siyo humo humo kwenye bajeti yetu ....!!
Mabasi yake yapi hayo? Kama mtu ni Mwizi si vyombo vipo vimkamate au?

By the way Kuna Mbunge wa CCM maskini? Wote ni wafanyabiashara matajiri,Sasa wakiteuliwa kuwa Mawaziri ndio waache kununua Mabasi kisa? Acheni ujinga leta hapa vyanzo vya kufidia hiyo bil.600 kwenye Bajeti
 
Umeandika takataka,rudia kuandika upya ueleweke.

Na ujibu hoja zangu hapo,Je ni wapi CAG amesema bil.600 zinatumika kununua magari kila mwaka, vinginevyo nitakuacha ujadiliane na punguani wenzako.

Bora ya Maboya yatelea kwenye maji ila kwa wewe utaendelea sana kutumikishwa hapo Lumumba maana hujielewi...Yaani hauoni kabisa serikali kutapakanya b 580 kila mwaka kwmba ni tatzizo wewe umneg'ng'ania nionyeshe nionyeshe ..Kweli wewe EMPTY SET.
 
Bora ya Maboya yatelea kwenye maji ila kwa wewe utaendelea sana kutumikishwa hapo Lumumba maana hujielewi.
😂😂 Huna hoja unadhani kupayuka matusi ndio kutaongeza maarifa kichwani kwako? 😆😆

Na mwenzako mtoa mada ameshindwa kujibu kama wewe akajisalimisha.

Siku nyingine unapojadiloana na Mimi uwe na takwimu sahihi,ndio maana Huwa napenda sana nikisikia mtu anasema Kuna upigaji,Huwa nataka aoneshe Kwa sababu najua ni uzushi na hamuwezi kuthibitisha.

Mwisho Kwa kukusaidia tuu, Serikali ya mama ndio ililete pendekezo la kupunguza hiyo recurring expenditures Kwa magari ya Viongozi na Wakuu wa taasisi Ili wanunue ya kwako kwakukopeshwa Kwa kila mtu na aiana ya gari anayotaka na Mafuta wapimiwe.

Wajinga kama wewe mkapinga na kupiga Makelele eti Wakubwa watapata ajali licha ya kuwapa mfano wa Rwanda nk.

By the way Serikali haijafuta hiyo option , Mwigulu amesema watu wa Utumishi na KMK wanaandaa utaratibu mzuri wa kulitekeleza na transmission yake isije kuharibu service delivery.

Mama anachujua hatua nzuri sana kupunguza matumizi ya serikali yasiyo ya muhimu na kuziba mianya ya upigaji ikiwemo hela za 10% za kukopesha watu.
 
Wewe ni BOYA nilishakueleza ,hujielewi ,yaani hauoni Tatizo la Serikali Kutapakanya 580B kila mwaka ila unaona tatizo kwa mtu aliyekuchallenge kwamba imetoka kwa CAG au Waziri hahaaa aiseee....

NI sawa kupewa taarifa na informer kwamba Mkeo analiwa na Boss wake kisha ukapeleleza ukagundua analiwa na BODABODA kisha ukaanza kumlaumu informer amekuongopea kwamba haliwi na BOSS.... 😀 😀 😀 .

Hoja ni kwamba 580B inatapakanywa kwenye magari kila mwaka wewe umeng'ang'ania kwamba nionyeshe wapi aliposema CAG ila hayo matumizi MABOVU hauyaoni.

Tatizo lako wewe ni chawa mambo ya mama yanaingiaje? Jikite kwenye HOJA ya matumizi mabovu ya 580B kila mwaka kwenye magari.(Manunuzi,service,mafuta).
 
Yaani huyo mchumi uchwara hanaga akili nyingine zaidi ya kukamua wananchi kwa kodi
Cha kushangaza anaongozana na msafara wa ma V8 bungeni bila aibu ya kuteketeza kodi za walalahoi badala ya kuonesha mfano mzuri.
 
Yaani bajeti iathirike kwa bilioni 600 wakati kila mwaka kuna ufisadi wa zaidi ya trilioni 1, na hamsemi bajeti inaathirika!! Stupid.
Inauma na kusikitisha. Mkuu niko huku Skendinevia. Norway lucha ya utajiri wao na reserve ya hela kubwa lakini wana austerity wanabana matumizi balaa. Hela ya Serikali haipotei hata shilingi. Wako makini kupita maelezo.
 
Mabasi yake yapi hayo? Kama mtu ni Mwizi si vyombo vipo vimkamate au?

By the way Kuna Mbunge wa CCM maskini? Wote ni wafanyabiashara matajiri,Sasa wakiteuliwa kuwa Mawaziri ndio waache kununua Mabasi kisa? Acheni ujinga leta hapa vyanzo vya kufidia hiyo bil.600 kwenye Bajeti

Hivi wewe unafikiri Wezi wote huwa wanakamatwa....!!?

Hivi kwa akili tu ya Kawaida unaona kuwa utajiri wa Mwigulu unatokana na Kipato chake. Kama anafanya Biashara tuambie anafanya biashara gani na ilifunguliwa lini .....!!
 
Mimi sijui kama ni Tajiri labda wewe ndio unibainishie
 
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."

"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"

Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.

Huwa najiuliza hili jamaa kwanini lilipewa uwaziri wa fedha, so stupid, inqjulikana kote duniani, kiwango cha ku piga Kodi huwa kina, limit, na, inqjulikana kote duniani, you can't tax a country to prosperity,
Hakuna direct proportional, Kati ya kuongeza Kodi na wingi wa Kodi itakqyokusanywa,
Cha kufsnya sio, kuongeza Kodi, ni kupunguza matumizi, na wizi wa, kodi
 
Back
Top Bottom