Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

Kuna ubaya? Waheshimiwa wanahitaji gari kubwa na zenye nafasi

Wanunue kwa mishahara yao ,kama mwalimu anayelipwa laki 6 anaweza kununua IST ,iweje DED/RC/DAS aneyelipwa zaidi ya milioni 8 na marupurupu kibao anunuliwe gari na serikali?
 
Kwani hayo magari yanatumia bil.600 na yananunulowa Kila mwaka? Hamnaga akili nyie

Wewe ndiyo huna akili ,soma ripoti ya CAG.......Ndiyo ujiulize inakuwaje wananunua magari kila mwaka ya 580B? tambua yaliyonunuliwa mwaka jana yanatelekezwa wanakuja kuyanunua milango ya nyuma kama SKREPA kwa milioni 2.
 
Unaelewa hata ambacho CAG anaripoti au unapayuka tuu kama puto limepasuka?
 
Waziri wa Fedha,fahamu na kumbuka VAT ilianza na asilimia 20% ,baadae ikashushwa hadi asilimia 18%.

Fuateni utaratibu uliotumika kushusha VAT 20% hadi 18%.(INAWEZEKANA,KWA NINI AWAMU ILE WALIWEZA,LEO MSHINDWE)

Napendekeza VAT iwe 15%,tuweze kushindana na majirani, na tuendelee kuonyesha nia ya kupunguza viwango ya tozo na kodi.(nchi yetu bado ina viwango ya juuu v ya tozo na kodi).

Tuwe wabunifu, na tuweke malengo ya kushusha viwango vya kodi na tozo ill wengi walipe kwa hiari.

Tuwe na malengo yenye kushawishi uwekezaji,na kuweka mazingira ya jamii kufanya matumizi ili wachangie kodi zaidi.
 
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."

"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"

Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.

Anampigia nani kelele? Hivi vijana wa Kenya wakija atapiga kelele hivyo? Bilioni 600 za nyanya yake! Hayo matumizi ya kipumbavu mbona hawapunguzi?
 
VAT hata iwe5% cha msingi tuongeze idadi ya walipa kodi wape eneo makampuni mbali mbali waje wafanye kazi hapa vingi tunamhitaji TOYOTA, APPLE, ADIDAS, LEXUS , TESLA, BENZ, FERGUSON(trekta)

Kila anayetaka apewe eneo afanye yake yaaan tuwe pyua kapitalist hadi TANESCO na sukari wawe. Na wapinzani bisnesss watu waje bongo vibali vyote vya foreigners vipunguzwe bei na masharti yapungue tutaendelea ujimani mpaka lini jaman
 
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."

"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"

Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.

Kama ni kwelu basi kwanini nyinyi vigogo hamulipi kodi? Anzeni kwenu basi tuone uzalendo wenu
 
VAT hata ingekua 20% lakini isiwe serikali ya Wezi na Kopa kopa ingekua haina neno maana baada ya muda ingeshuka bila madeni haya makubwa yanayofanywa na serikali Corrupt inayoendekeza starehe na semina na kukimbizana na makongamano kwa lengo tu la kwenda kula kufuja kodi bila aibu.
Rais amekaa anaangalia tu makongamano ,safari za ndani na nje na semini zisizoisha za watendaji wake anaona ni sawa tu huku akizudi kukopa na kupandisha kodi na tozo.
Sijui hata anawaza nini kwa kweli?
Ajabu kabisa. Yaani jambo dogo kabisa la kupiga marufuku semina ,sherehe,makongamano ,safari na matumizi yasiyo ya lazima. Kuna mitandoa na teknolojia kuwa sasa kuna haja gani kwa wetendaji kukutana kwenye maukumbi na mahoteli kufanya vikao badala ya kufanya online na kuwaachia Wakurugenzi na MaDC na wakuu wa mikoa kumwakilisha Rais kukagua miradi huku TIS wakifanya kazi yao na CAG?
Hili nalo linahitaji maandamano ndio walione kuwa linawakera sana wananchi na hata watendaji wa chini wasioona faida ya wao kupewa mishahara midogo huku mabilioni ya pesa yakienda kwenye Semina na safari na magari ya kifahari yasiyo na tija zaidi ya kumaliza pesa za umma?

Bora uongeze kodi lakini zisiibiwe na wanaoiba wafukuzwe na kufilisiwa mali wanazozipata kwa wizi. Wananchi watakua na imani kubwa na wataona kodi yao inajenga nchi. Mfano wafanyabiashara wa kitanganyika hata kodi ya frame mijini wanajitafutia kwa gharama kubwa kuliko wageni ?
Majengo ya shirika la Nyumba na masoko yameshikiliwa na makada wa CCM na kupandisha kodi kupitia madalali badala ya mamlaka husika.

Yaani Kodi inalipwa lakini kuna majizi yanasamehe kodi bidhaa hewa kama sukari na kupoteza Bil. 500 eti palikua na dharura halafu sukari isiyo na kodi haikuingia kwenye mzunguka mana ingeuzwa hata sh. 1000 mana imeagizwa kwa pesa za serikali kwa mzabuni hewa na muuzasimu asiye na godaoni la kuweka hata Chumvi ya mawe. 🤣🤣🤣🤣
Nipeni hii nchi hawa watu niwatundike msalabani siku ya maonyesho ya Saba Saba.
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."

"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"

Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.

VAT hata iwe5% cha msingi tuongeze idadi ya walipa kodi wape eneo makampuni mbali mbali waje wafanye kazi hapa vingi tunamhitaji TOYOTA, APPLE, ADIDAS, LEXUS , TESLA, BENZ, FERGUSON(trekta)

Kila anayetaka apewe eneo afanye yake yaaan tuwe pyua kapitalist hadi TANESCO na sukari wawe. Na wapinzani bisnesss watu waje bongo vibali vyote vya foreigners vipunguzwe bei na masharti yapungue tutaendelea ujimani mpaka lini jaman

Nchi yenye gesi kila kona na mafuta mengi sana huko Pangani na Pemba haihitaji hao Wanyonyaji kwa sasa. Hatuhitaji mfumo wa kibepari kama NIGERIA .Ubepari ni unyama. Ni mfumo wa kishetani usiothamini kiumbe binadamu zaidi ya vitu. Ni mifumo miovu sana iliyojengwa juu ya misingi ya damu za wanyonge kode duniani . Mabepari wamemwaga damu nyingi za wanadamu na wanyama wasao na hatia kama tembo ,twiga na vifatu. Wanamwaga damu za watu huko Kongo n.k. Nchi hii inautajiri mkubwa sana hatuhitaji hivyo vitu viletwe kwa wakati huu kwenye kizazi hiki cha wahuni waliokaa madarakani kwa wizi wa Kura. Mtalia na kusaga meno. Utalii unaingiza mabiloni ya pesa lakini yamapotea kwa sababu ya mifumo ya ukusanyaji wa fedha kwenye nchi hii. Hii nchi ina pesa nyingi sana lakini kuna vihazina vingi binafsi. Kila idara inakusanya na kutumia na kupeleka kinachobaki Hazina . Huu ni upuuzi mkubwa. Pesa zote zingeingia hazina Utalii tu na bandari zingweza kuendesha nchi.
 
Wewe papalika kama mahindi ya bisi ,ila huo ndiyo ukweli kila mwaka 580B inatekekea kununua LC300.
Huwezi kuwa na akili wewe,ni lini CAG alisema bilioni 580 zinanunua LC 300 Kila mwaka?

Hayo magari si tungeyaona Kwa Kila Kiongozi Sasa ,Machadema nyie Huwa ni brainless sana
 
Wewe ndiyo huna akili ,soma ripoti ya CAG.......Ndiyo ujiulize inakuwaje wananunua magari kila mwaka ya 580B? tambua yaliyonunuliwa mwaka jana yanatelekezwa wanakuja kuyanunua milango ya nyuma kama SKREPA kwa milioni 2.
Onyesha hiyo ripoti ya CAG ikisema bil.600 zinanunua magari Kila mwaka,iweke hapa uone kama hujaishia kutukana Kwa kukosa ushahidi,weka tuisome.
 
Huwezi kuwa na akili wewe,ni lini CAG alisema bilioni 580 zinanunua LC 300 Kila mwaka?

Hayo magari si tungeyaona Kwa Kila Kiongozi Sasa ,Machadema nyie Huwa ni brainless sana

Kwani zile 1.5T zilizopigwa na 900B zilizopigwa ikulu kipindi cha Mwendazake uliziona? Mbona CAG alizisema? Kuwa Nzi wa kijani kusikutoe ufahamu.

Ndiyo maana nakwambia wewe ni bwatabwata hufatilii chochote ,yaani ukipewa elfu 7 ya kujikimu na bando la jero wewe ni kuja kubwabwaja tu ,haujui kabisa kwamba CAG alisema kwamba serikali kila mwaka inatumia 580B kununulia LC 300(Magari)? Mimi ningekuwa ndiyo nagawa Elfu 7 hapo Lumumba ningekutoa kwenye list maana ni empty set.
 
Onyesha hiyo ripoti ya CAG ikisema bil.600 zinanunua magari Kila mwaka,iweke hapa uone kama hujaishia kutukana Kwa kukosa ushahidi,weka tuisome.

Mimi nimekwambia kwamba kuna mbwa chumbani ,wewe ndiyo unatakiwa uniprove kwamba hayupo.

Yaani ningekuwa nipo Lumumba ningekutoa kwenye payroll maana huna unalolijua unakula tu elfu 7 za bure na bando la jero kila siku.
 
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."

"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"

Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.

MaV8 wananunua ya billion ngapi?
 
Kwani zile 1.5T zilizopigwa na 900B zilizopigwa ikulu kipindi cha Mwendazake uliziona? Mbona CAG alizisema? Kuwa Nzi wa kijani kusikutoe ufahamu.

Ndiyo maana nakwambia wewe ni bwatabwata hufatilii chochote ,yaani ukipewa elfu 7 ya kujikimu na bando la jero wewe ni kuja kubwabwaja tu ,haujui kabisa kwamba CAG alisema kwamba serikali kila mwaka inatumia 580B kununulia LC 300(Magari)? Mimi ningekuwa ndiyo nagawa Elfu 7 hapo Lumumba ningekutoa kwenye list maana ni empty set.
Niwekee hapa ripoti inayosema Bil.600 zinatumika kununua magari Kila mwaka,weka hapa kutoka Kwa CAG usihamishe magoli, vinginevyo Huwa sijadiliani na poyoyo.
 
Mimi nimekwambia kwamba kuna mbwa chumbani ,wewe ndiyo unatakiwa uniprove kwamba hayupo.

Yaani ningekuwa nipo Lumumba ningekutoa kwenye payroll maana huna unalolijua unakula tu elfu 7 za bure na bando la jero kila siku.
Kwa hiyo
-Manunuzi ya magari
-Mafuta
-Maintanance

Vyote Kwa pamoja hufanywa Kwa 560bln ni sawa na upuuzi wako ulisema zinatumika kununua magari ya LC 300 kama ulivyosema?

Mpaka hapo ulitaka Serikali iwe na magari ila yatajiendesha bila Mafuta na bila service? Ndio Serikali ya Machadema itakuwa? Huna akili ,na hiyo taarifa hakutaja CAG ni Waziri wa Fedha alitaka ,unaropoka na hujui unachoropoka.
 
Mwigulu anadhani watu hatuelewi hesabu, ikiwa asilimia mbili ya VAT ni billion 600 anamaanisha asilimia 100 ya VAT pekee tunakusanya trillion 30?

Au alimaanisha billion 60, kakosea?
Huyo bwege sijui PhD aliipataje
 
Back
Top Bottom