kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwani hawaoni kuna hajabya kupunguza matumizi? Serikali ina matumizi makubwa sana tenanyasiyo na tija yeyoteAmezungumza leo Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa Ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Hadi sasa mikioa ya Iringa,Dar es salaam,Mwanza,Mbeya na Mtwara
Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam
View attachment 3026702