Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

Kwani hawaoni kuna hajabya kupunguza matumizi? Serikali ina matumizi makubwa sana tenanyasiyo na tija yeyote
 
Huyu kiumbe na wenzake ni vilaza sana:- FIKIRI
  • kiongozi analipwa salary nono,
  • Analipwa nyumba
  • Analipwa simu
  • Analipwa maji
Analipwa umeme. Sasa hapo ondoa kuanzia # kiongozi abaki na Mshahara tu!

Again:-
  • Ununuzi wa magari ya kifahari
  • Huduma ya mafuta kila wiki
  • Kugawana OC kila mwezi. Hapa napo kuna shida.

Lkn pia:-
* Kuteua na kutengua asubuhi na jioni - aliyetenguliwa huendelea kulipwa Mshahara wa kiongozi wkt yuko kando. Hii husababisha wage bill ya serikali kuwa kubwa.

Hatuwezi!
 

Kwenye kuzikusanya hawasemi za Mama .... ila kwenye matumizi zinageuka kuwa PESA ZA MAMA....!!

Anyway, wanaweza kupunguza kwenye VAT wakakamua upande mwingine.
 

Yeye za kununulia Mabasi anazitoa wapi kama siyo humo humo kwenye bajeti yetu ....!!
 
Kabisa wanatembelea wakuu wa taasisi zote ,makatibu wa wizara ,Nk,DED ,RC,DAS,DC,RAS,W ,N/W ,viongozi wa Chama na serikali hatari kwa kila mwaka wanateketeza 580B.....Juzi Juzi LC 300 ya RAS kilimanjaro imesambaratika.
Kwani hayo magari yanatumia bil.600 na yananunulowa Kila mwaka? Hamnaga akili nyie
 
Tundu la panya unaliziba na karatasi, tume ya uchunguzi wa ufisadi tajwa inatangazwa nyuma ya mikamera majibu ya tume nyuma ya pazia hahaha 🤣 tabulele!
 
CAG hutangaza upotevu wa bilioni ngapi kila mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…