King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna ubaya? Waheshimiwa wanahitaji gari kubwa na zenye nafasi
Duh!!!Yaani bajeti iathirike kwa bilioni 600 wakati kila mwaka kuna ufisadi wa zaidi ya trilioni 1, na hamsemi bajeti inaathirika!! Stupid.
Kwani hayo magari yanatumia bil.600 na yananunulowa Kila mwaka? Hamnaga akili nyie
Unaelewa hata ambacho CAG anaripoti au unapayuka tuu kama puto limepasuka?Wewe ndiyo huna akili ,soma ripoti ya CAG.......Ndiyo ujiulize inakuwaje wananunua magari kila mwaka ya 580B? tambua yaliyonunuliwa mwaka jana yanatelekezwa wanakuja kuyanunua milango ya nyuma kama SKREPA kwa milioni 2.
Unaelewa hata ambacho CAG anaripoti au unapayuka tuu kama puto limepasuka?
Anampigia nani kelele? Hivi vijana wa Kenya wakija atapiga kelele hivyo? Bilioni 600 za nyanya yake! Hayo matumizi ya kipumbavu mbona hawapunguzi?"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"
Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.
Kama ni kwelu basi kwanini nyinyi vigogo hamulipi kodi? Anzeni kwenu basi tuone uzalendo wenu"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"
Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"
Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.
VAT hata iwe5% cha msingi tuongeze idadi ya walipa kodi wape eneo makampuni mbali mbali waje wafanye kazi hapa vingi tunamhitaji TOYOTA, APPLE, ADIDAS, LEXUS , TESLA, BENZ, FERGUSON(trekta)
Kila anayetaka apewe eneo afanye yake yaaan tuwe pyua kapitalist hadi TANESCO na sukari wawe. Na wapinzani bisnesss watu waje bongo vibali vyote vya foreigners vipunguzwe bei na masharti yapungue tutaendelea ujimani mpaka lini jaman
Huwezi kuwa na akili wewe,ni lini CAG alisema bilioni 580 zinanunua LC 300 Kila mwaka?Wewe papalika kama mahindi ya bisi ,ila huo ndiyo ukweli kila mwaka 580B inatekekea kununua LC300.
Onyesha hiyo ripoti ya CAG ikisema bil.600 zinanunua magari Kila mwaka,iweke hapa uone kama hujaishia kutukana Kwa kukosa ushahidi,weka tuisome.Wewe ndiyo huna akili ,soma ripoti ya CAG.......Ndiyo ujiulize inakuwaje wananunua magari kila mwaka ya 580B? tambua yaliyonunuliwa mwaka jana yanatelekezwa wanakuja kuyanunua milango ya nyuma kama SKREPA kwa milioni 2.
Huwezi kuwa na akili wewe,ni lini CAG alisema bilioni 580 zinanunua LC 300 Kila mwaka?
Hayo magari si tungeyaona Kwa Kila Kiongozi Sasa ,Machadema nyie Huwa ni brainless sana
Onyesha hiyo ripoti ya CAG ikisema bil.600 zinanunua magari Kila mwaka,iweke hapa uone kama hujaishia kutukana Kwa kukosa ushahidi,weka tuisome.
MaV8 wananunua ya billion ngapi?"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza bilioni 600 kwa pamoja. Ukishusha hivyo na tuna miradi mikubwa tunatekeleza inaathiri bajeti. Ukishusha kwa kiasi hicho unakuwa na 10%, bajeti ya Serikali itaathirika. Tumesema twende nayo hatua kwa hatua"
Waziri Mwigulu amezungumza haya leo, Juni 26, 2024 Bungeni wakati akijibu hoja za Wabunge na kinachoendelea nchini kwa sasa ikiwahusu wafanyabiashara kuendeleza mgomo wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hadi sasa mikioa ya Iringa, Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Mtwara. Mgomo wa Wafanyabiashara kutokufungua maduka nchini ulianza Juni 24, 2024 jijini Dar es Salaam.
Niwekee hapa ripoti inayosema Bil.600 zinatumika kununua magari Kila mwaka,weka hapa kutoka Kwa CAG usihamishe magoli, vinginevyo Huwa sijadiliani na poyoyo.Kwani zile 1.5T zilizopigwa na 900B zilizopigwa ikulu kipindi cha Mwendazake uliziona? Mbona CAG alizisema? Kuwa Nzi wa kijani kusikutoe ufahamu.
Ndiyo maana nakwambia wewe ni bwatabwata hufatilii chochote ,yaani ukipewa elfu 7 ya kujikimu na bando la jero wewe ni kuja kubwabwaja tu ,haujui kabisa kwamba CAG alisema kwamba serikali kila mwaka inatumia 580B kununulia LC 300(Magari)? Mimi ningekuwa ndiyo nagawa Elfu 7 hapo Lumumba ningekutoa kwenye list maana ni empty set.
Kwa hiyoMimi nimekwambia kwamba kuna mbwa chumbani ,wewe ndiyo unatakiwa uniprove kwamba hayupo.
Serikali hutumia Tsh. Billion 558 kununua magari kwa mwaka
Unaweza usiamini ila ndo pesa za sisi walipa kodi zinapotea huku hapo bado kufanyiwa service, mafuta na takataka zingine. Piga hesabu ndani ya miaka 10 pesa ngapi inapotea? Kwa dizaini hii tutaacha kukopa?? Juzi hapa Waziri wenu wa Fedha kanunua gari ya 800 milioni. Inasikitisha sana kuona...www.jamiiforums.com
Yaani ningekuwa nipo Lumumba ningekutoa kwenye payroll maana huna unalolijua unakula tu elfu 7 za bure na bando la jero kila siku.
Huyo bwege sijui PhD aliipatajeMwigulu anadhani watu hatuelewi hesabu, ikiwa asilimia mbili ya VAT ni billion 600 anamaanisha asilimia 100 ya VAT pekee tunakusanya trillion 30?
Au alimaanisha billion 60, kakosea?