Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Akili ndogo ndo wamewekeza huko..kweli Chadema inahitajika sana Bungeni

Mkuu, mbona Mwenyekiti wetu Mbowe ana Lilian Mtei na Joyce, na wote amezaa nao,, mbali ya akina Wema Sepetu na yule meneja wa nmb tawi la.. aliokwisha ruka nao

Na za chini ya kapeti Pendo Peneza nae ana Kigogo mmoja pale Ufipani ambae ni mume wa mtu
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Pangani ambaye aliolewa na mtangazaji wa azam na jamaa akasababisha ndoa ya jamaa kuvunjika ni yupi hapo?
 
Hapo atatumia hata uchawi aendelee kuwa mbunge wa pangani ili atunze wanawake wake, matawi ya wake zake na lake. Na ni lazima awe fisadi.
 
Unaoa mke mmja una akili timamu? Au unataka kufa mapema?
 
Mkuu
Hongera kwa bandiko zuri
Wenye maono watajiuliza hiyo sio ziara/utambulisho wa kimkakati!!?
Kwanini!!?
Siku kadhaa nyuma bandiko la makada wawili wa chama tawala watakaomrithi Mama lilikuja humu jamvini tukachangia mmoja wapo wa Hao wawili ni huyu uliemfungulia uzi wake hapa!!
Je ni co incidence!!?TUSUBIRI
 
Umeamua kutulisha Tango Pori Kuhusu Zainab Abdallah? Ni lini ZA amekuwa mjumbe Wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar?

Nadhani unaemsemea kwamba ni mtoto wa Hangaya ni Yule alieolewa na Waziri Wa Utamaduni na Michezo, Some1 Mchengerwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku watapeleka mbwa wao Kama yule wa wema halafu watambulishwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi hii ngumu Saana....
 
Unapotosha kwa masilahi ya nani ndg.?
Uliyesema ni mtoto wa Samia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ambaye alishawahi kuolewa na Mfanyakazi wa Azam.
 
Hawaoni hata aibu kuolewa wawili
 
Mbona mzee Mwinyi alikua nao wa2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…