Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Swala la mwanaume kuwa na wake wengi linazingatia zaidi uchumi, rejea mfalme Suleiman alikuwa nao mia saba.......kwa hiyo hakuna jipya hapo.
 
Ila huyo Zainab hapana kwa kweli niwe muwazi mniwie radhi.
 
Duh ! Watu kwa kuunganisha dots ni hatariii !!
 
Aongeze wawili wafike wanne kwa mujibu wa dini
 
Hakuna chochote cha maana zaidi ya kujiongezea possibility ya kukusanya mapepo Mengi. Maana kadiri unavyoongeza wanawake kila mmoja ana mipepo yake maana hawana Yesu hao. Akamuulize mfalme Sulemani kilochomkuta kwa wanawake 1,000!
 
Huyu tarimo ndo kaingilia ndoa ya bi zainabu bila shaka
 
MTT wa tajiri unaenda kuolewa mke wa pili?
Huyo tarimo nina wasiwasi nae!
Wachaga naowajua Mimi[emoji848]
 

Mtoto wa tajiri kawa mke mwenza nadhani ipo shida hapo.
 
Wamekuja kukaba wameshtuka dogo anataka kuongeza wa tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ