Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Aisee mtani wangu Waziri Jafo kumbe ana wake wanne ndio maana hanenepi
Hata mwendazake aliwahi mpongeza [emoji3][emoji3] kunenepa ndiyo hawezi na siku akikosa ubunge sijui itakuwaje, ndiyo maana tamisemi kulimshinda
 
Hapana Zainab ndio kaingilia ya mwenzake baada ya mume wake kuongeza mke akasepa akaibukia Kwa Aweso akaolewa mke Wa pili
Sasa kama alimkimbia mume wa kwanza kwa kuongeza mke, mbona tena kaenda kuwa mke wa pili? Labda sababu ya kumkimbia mume wa kwanza ni ya tofauti.
Labda pesa?
 
Ni mke wa mchengerwa ndiye ninihii hangaya
 
Sasa kama alimkimbia mume wa kwanza kwa kuongeza mke, mbona tena kaenda kuwa mke wa pili? Labda sababu ya kumkimbia mume wa kwanza ni ya tofauti.
Labda pesa?
Yeye si mkuu WA wilaya, pengine aliona mume anatumia kipato chake kwenye starehe zake kaamua kumkimbia.
 
MTT wa tajiri unaenda kuolewa mke wa pili?
Huyo tarimo nina wasiwasi nae!
Wachaga naowajua Mimi[emoji848]
Kaenda kuchuma zile atakazo fisadi huko! Au Baba kapata ulinzi wa biashara zake
 
Huyo Zainab Abdallah ndio Mkuu wa Wilaya ya Bagomoyo.

Jiwe nae alikuwa na wake wangapi? Hivi Angela Jamsine Kairuki ambaye ni mtoto wa nje wa Salim Ahmed Salim yuko wapi siku hizi? Nimeuliza tuu
 
Dah CCM wanakula mema ya nchi, mimi mmoja anelekea kunishinda hali ya uchumi ni tata sana.
 
Hapana Zainab ndio kaingilia ya mwenzake baada ya mume wake kuongeza mke akasepa akaibukia Kwa Aweso akaolewa mke Wa pili
Japo umbeya sio mazuri lakini huyu Zai si ndiye DC na alimwambia mmewe aongeze bi mdogo yeye majukumu yake ya ukuu wa wilaya hataweza kutimiza wajibu wake kama mke??? Inakuwaje tena?
 
Japo umbeya sio mazuri lakini huyu Zai si ndiye DC na alimwambia mmewe aongeze bi mdogo yeye majukumu yake ya ukuu wa wilaya hataweza kutimiza wajibu wake kama mke??? Inakuwaje tena?
Muongo huyooo bwana alikuwa marioo kajikosha tu kaona isiwe tabu akajikata kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…