PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili ndogo ndo wamewekeza huko..kweli Chadema inahitajika sana Bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili ndogo ndo wamewekeza huko..kweli Chadema inahitajika sana Bungeni
Duh!!!Sawa Chadema mnajifanya hamyapendi kamuulize Joyce Mukya na Mbowe wakueleweshe
Hapana Zainab ndio kaingilia ya mwenzake baada ya mume wake kuongeza mke akasepa akaibukia Kwa Aweso akaolewa mke Wa piliHuyu tarimo ndo kaingilia ndoa ya bi zainabu bila shaka
Enhee🙄🙄🙄 mbona mkubwaa anaonekana ni 🔥🔥🔥🔥🔥 kuliko mdogo au macho yangu tu
ila uzuri wa mtu upo machoni pakeEnhee
Ndio mkubwa ..... ila wanaume tunatekwaga mpaka hata hujui umetekwaje... kifurushi nikimweka kwenye mizani na cheupe nashindwa kuelewa alikosea wapi.Tarimo ndo mkubwa au mdogo?
Hata mwendazake aliwahi mpongeza [emoji3][emoji3] kunenepa ndiyo hawezi na siku akikosa ubunge sijui itakuwaje, ndiyo maana tamisemi kulimshindaAisee mtani wangu Waziri Jafo kumbe ana wake wanne ndio maana hanenepi
Tarimo wa Tanga sio mmiliki wa Open University bali Ekernford University.Kaoa kwa mzee Tarimo Yule mwenye open university kule Tanga?Tatizo
Sasa kama mke mmoja kumtimizia mahitaji yake ni mtihani wa hisabati je huyo wapili atapewa nini!Unaoa mke mmja una akili timamu? Au unataka kufa mapema?
Yeye si ndiye alimwambia mmewe aoe mke wa pili ili amsaidie majukumu? Au nimechanganya madesa?Zainab abdallah wa kwanza Kutoka kushoto, Ambae Kwa Sasa ni Disii Wa Bagamoyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa kama alimkimbia mume wa kwanza kwa kuongeza mke, mbona tena kaenda kuwa mke wa pili? Labda sababu ya kumkimbia mume wa kwanza ni ya tofauti.Hapana Zainab ndio kaingilia ya mwenzake baada ya mume wake kuongeza mke akasepa akaibukia Kwa Aweso akaolewa mke Wa pili
Ni mke wa mchengerwa ndiye ninihii hangayaHongereni wachaga na wapemba
Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar
Jamaa kaoa familia zote Bora
Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Yeye si mkuu WA wilaya, pengine aliona mume anatumia kipato chake kwenye starehe zake kaamua kumkimbia.Sasa kama alimkimbia mume wa kwanza kwa kuongeza mke, mbona tena kaenda kuwa mke wa pili? Labda sababu ya kumkimbia mume wa kwanza ni ya tofauti.
Labda pesa?
Kaenda kuchuma zile atakazo fisadi huko! Au Baba kapata ulinzi wa biashara zakeMTT wa tajiri unaenda kuolewa mke wa pili?
Huyo tarimo nina wasiwasi nae!
Wachaga naowajua Mimi[emoji848]
Mtihani kwa nani?Sasa kama mke mmoja kumtimizia mahitaji yake ni mtihani wa hisabati je huyo wapili atapewa nini!
Sasa kama hajafika 30 huo mwili vipi duu haaataTatizo anajiachia ananenepa ovyo mpaka pua. Zamani alikua mzuri alivyokua anavunja ungo
Halafu ni litoto tu halijafika miaka 30
Japo umbeya sio mazuri lakini huyu Zai si ndiye DC na alimwambia mmewe aongeze bi mdogo yeye majukumu yake ya ukuu wa wilaya hataweza kutimiza wajibu wake kama mke??? Inakuwaje tena?Hapana Zainab ndio kaingilia ya mwenzake baada ya mume wake kuongeza mke akasepa akaibukia Kwa Aweso akaolewa mke Wa pili
Muongo huyooo bwana alikuwa marioo kajikosha tu kaona isiwe tabu akajikata kimya kimyaJapo umbeya sio mazuri lakini huyu Zai si ndiye DC na alimwambia mmewe aongeze bi mdogo yeye majukumu yake ya ukuu wa wilaya hataweza kutimiza wajibu wake kama mke??? Inakuwaje tena?