Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Daah afadhali maana nilishaanza kukariri waandishi habari wa TBC
 
Hii awamu imejikita katika kuyafuta yote ambayo kafanya Magufuli yaani karibu kila kitu wanabadili.
 
Ni vigumu kupata maendeleo kwa mtindo huu
 
Hao DStv wameishapoteza uelekeo
Kabisa, kwanza wanarudia rudia sana vipindi, vipindi ulivyotazama mwezi uliopita ndio hivyo hivyo na maudhui yaleyale utayayoyaona mwezi huu! Bora tutazame hizohizo FTA channels tu 🙄
 
Local channels zipo wapi sasa au mlianza kupongeza kabla?
 

Nachelea kubeza mchango wako kwa vile tu umeandika vizuri na kwa urefu sana, ila ukweli ni kwamba umeandika kinyume nyume…. pengine kwa maksudi ama HUJUI ulichoandika.
 
Walivyoleta kwa kasi taarifa nikajua nikirudi tu nyumbani nazikuta online [emoji3] kumbe kelele za mlango, kweli TV ya taifa mmm siku ile besidei waliniacha hoi tunataka taarifa ya habari jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…