Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa vita ya nani anaweza kufanya Data manipulation kati ya wapinzani na Tawala mwenye uwezo wa kicheza na programm vizuri ndo atashinda 🤣🤣🤣🤣Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo linawezekana kwakuwa Watanzania Milioni 34 wanatumia internet.
Waziri Nape amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kupitia Jukwaa la Uhuru wa Internet Africa “Forum on Internet Freedom in Africa 2023” ambalo limehusisha zaidi ya Mataifa 30, huku idadi ya Washirikii ikiwa ni zaidi ya 200.
“Commitment ya Nchi ni kuhakikisha kwamba ikiwezekana chaguzi zijazo ziwe chaguzi zinazotumia teknolojia kwamba kwanini isifike mahali kuwe na uwezo wa mtu kupiga kura mtandaoni awe na uwezo wa kupiga kura popote alipo badala ya kwenda kupanga foleni na kusubiri muda wa kura, chaguzi zijazo zitumie Teknolojia ikiwemo mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura”
Electronic Voting kwa kifupi ikifahamika kama e-voting ni aina ya uchaguzi unaofanyika kielektroniki ambapo mfumo huo usaidia katika kuchagua mgombea na kuhesabu kura kidijitali zaidi.
Kuna aina mbili za Electronic Voting.
1. e-voting at polling station: ambapo uchaguzi ufanyika katika kituo cha upigaji kura na mashine maalumu zinazoitwa Electronic Voting Machine (EVM) ufanya kazi mbalimbali za uongozaji wa kumsaidia mtu kuchagua mgombea anayemtaka kidijitali. Hivyo hivyo nazo zimegawanyika;
kuna zile ambazo mnapiga kura kwenye karatasi lakini yenyewe inahesabu kwa kuangalia umechagua mgombea yupi na kuzihesabu karatasi zote za kura na mwisho kukupa majibu ya idadi ya kura.
na Kuna zile mashine zenyewe zinakuwa kama simu, unabonyeza tu sura ya mgombea kisha inatunza taarifa na badae kujumuisha zote zilizopigwa na kutoa majibu ya waliopiga kura. Na aina zote hizi ufanyika katika kituo cha kupigia kura cha eneo husika, na anakuwepo msimamizi wa kituo.
2. Online Voting: Upigaji kura huu ufanyika mahali popote ambapo mpiga kura yupo, na inakubidi mpiga kura utumie simu au kifaa chochote cha internet. Hii ni aina ambayo upigaji kura wake umekuwa maarufu zaidi katika mashirika na serikalini. Ambapo kunakuwa na Website au Server maalumu ambayo mpiga kura ataingia kwa kutumia kifaa chake kisha ataweka namba yake ya uthibitisho kama ni yeye mfano namba ya mpiga kura, ya NIDA au itakayohitajika ili hasijirudie kupiga kura, kisha atapiga na kuchagua mgombea anayemtaka.
Mfumo huu kwa ujumla unafanyika katika nchi mbalimbali Duniani, mfano Marekani. Na uchaguzi wa aina hii unafaida kama kuokoa muda, kurahisisha kuhesabu kura kwa sababu mfumo wenyewe ndio unajiendesha, hivyo majibu hutoka haraka. Athari ni kama Mfumo ukizingua (machine error au server error), kushindwa kufanya kazi (shutdown, jam) , ukidukiliwa na wataalamu wa Teknolojia (hacking) kisha watu wakapanga matokeo yao. Inahitaji teknolojia ya hali ya juu kulinda upiga kura wa aina hii zidi ya mahalamia, kwa sababu mtu ambaye hajui kutumia teknolojia anaweza kuibiwa kura ambapo anayemuelekeza akapiga kwa niaba yake bila kujua, kwa sababu ni kubonyeza tu mashine au simu.
Wasije wakatupiga "booleans" loops kila False ni true na kila true ni true 🤣🤣🤣🤣 ukakuta kura zote ni zaoWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo linawezekana kwakuwa Watanzania Milioni 34 wanatumia internet.
Waziri Nape amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kupitia Jukwaa la Uhuru wa Internet Africa “Forum on Internet Freedom in Africa 2023” ambalo limehusisha zaidi ya Mataifa 30, huku idadi ya Washirikii ikiwa ni zaidi ya 200.
“Commitment ya Nchi ni kuhakikisha kwamba ikiwezekana chaguzi zijazo ziwe chaguzi zinazotumia teknolojia kwamba kwanini isifike mahali kuwe na uwezo wa mtu kupiga kura mtandaoni awe na uwezo wa kupiga kura popote alipo badala ya kwenda kupanga foleni na kusubiri muda wa kura, chaguzi zijazo zitumie Teknolojia ikiwemo mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura”
Electronic Voting kwa kifupi ikifahamika kama e-voting ni aina ya uchaguzi unaofanyika kielektroniki ambapo mfumo huo usaidia katika kuchagua mgombea na kuhesabu kura kidijitali zaidi.
Kuna aina mbili za Electronic Voting.
1. e-voting at polling station: ambapo uchaguzi ufanyika katika kituo cha upigaji kura na mashine maalumu zinazoitwa Electronic Voting Machine (EVM) ufanya kazi mbalimbali za uongozaji wa kumsaidia mtu kuchagua mgombea anayemtaka kidijitali. Hivyo hivyo nazo zimegawanyika;
kuna zile ambazo mnapiga kura kwenye karatasi lakini yenyewe inahesabu kwa kuangalia umechagua mgombea yupi na kuzihesabu karatasi zote za kura na mwisho kukupa majibu ya idadi ya kura.
na Kuna zile mashine zenyewe zinakuwa kama simu, unabonyeza tu sura ya mgombea kisha inatunza taarifa na badae kujumuisha zote zilizopigwa na kutoa majibu ya waliopiga kura. Na aina zote hizi ufanyika katika kituo cha kupigia kura cha eneo husika, na anakuwepo msimamizi wa kituo.
2. Online Voting: Upigaji kura huu ufanyika mahali popote ambapo mpiga kura yupo, na inakubidi mpiga kura utumie simu au kifaa chochote cha internet. Hii ni aina ambayo upigaji kura wake umekuwa maarufu zaidi katika mashirika na serikalini. Ambapo kunakuwa na Website au Server maalumu ambayo mpiga kura ataingia kwa kutumia kifaa chake kisha ataweka namba yake ya uthibitisho kama ni yeye mfano namba ya mpiga kura, ya NIDA au itakayohitajika ili hasijirudie kupiga kura, kisha atapiga na kuchagua mgombea anayemtaka.
Mfumo huu kwa ujumla unafanyika katika nchi mbalimbali Duniani, mfano Marekani. Na uchaguzi wa aina hii unafaida kama kuokoa muda, kurahisisha kuhesabu kura kwa sababu mfumo wenyewe ndio unajiendesha, hivyo majibu hutoka haraka. Athari ni kama Mfumo ukizingua (machine error au server error), kushindwa kufanya kazi (shutdown, jam) , ukidukiliwa na wataalamu wa Teknolojia (hacking) kisha watu wakapanga matokeo yao. Inahitaji teknolojia ya hali ya juu kulinda upiga kura wa aina hii zidi ya mahalamia, kwa sababu mtu ambaye hajui kutumia teknolojia anaweza kuibiwa kura ambapo anayemuelekeza akapiga kwa niaba yake bila kujua, kwa sababu ni kubonyeza tu mashine au simu.
Yeah mkuu ni simple codes tu hapo hahahahYeah... Ukibonyeza Chadema, wao wameseti majibu yawe CCM 😂
Ila huezi amini kwemye hii evoting naipa sana Ushindi Vyama pinzani kuliko CCMElectronic Voting bado sana kwa Tanzania, kwa jinsi nchi ilivyo.... sisiem wame-dominate Nchi toka uhuru, lazima watacheza na mifumo ili waendelee kubaki
Kwa nini? Wakati unafahamu fika serikali ndio italeta hao mafundi mitambo, na kila kiongozi wa juu serikalini ni CCM... We unahisi hiyo Teknolojia wataileta hili watoke madarakaniIla huezi amini kwemye hii evoting naipa sana Ushindi Vyama pinzani kuliko CCM
Tatizo votes zitakuwa rigged.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo linawezekana kwakuwa Watanzania Milioni 34 wanatumia internet.
Waziri Nape amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kupitia Jukwaa la Uhuru wa Internet Africa “Forum on Internet Freedom in Africa 2023” ambalo limehusisha zaidi ya Mataifa 30, huku idadi ya Washirikii ikiwa ni zaidi ya 200.
“Commitment ya Nchi ni kuhakikisha kwamba ikiwezekana chaguzi zijazo ziwe chaguzi zinazotumia teknolojia kwamba kwanini isifike mahali kuwe na uwezo wa mtu kupiga kura mtandaoni awe na uwezo wa kupiga kura popote alipo badala ya kwenda kupanga foleni na kusubiri muda wa kura, chaguzi zijazo zitumie Teknolojia ikiwemo mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura”
Electronic Voting kwa kifupi ikifahamika kama e-voting ni aina ya uchaguzi unaofanyika kielektroniki ambapo mfumo huo usaidia katika kuchagua mgombea na kuhesabu kura kidijitali zaidi.
Kuna aina mbili za Electronic Voting.
1. e-voting at polling station: ambapo uchaguzi ufanyika katika kituo cha upigaji kura na mashine maalumu zinazoitwa Electronic Voting Machine (EVM) ufanya kazi mbalimbali za uongozaji wa kumsaidia mtu kuchagua mgombea anayemtaka kidijitali. Hivyo hivyo nazo zimegawanyika;
kuna zile ambazo mnapiga kura kwenye karatasi lakini yenyewe inahesabu kwa kuangalia umechagua mgombea yupi na kuzihesabu karatasi zote za kura na mwisho kukupa majibu ya idadi ya kura.
na Kuna zile mashine zenyewe zinakuwa kama simu, unabonyeza tu sura ya mgombea kisha inatunza taarifa na badae kujumuisha zote zilizopigwa na kutoa majibu ya waliopiga kura. Na aina zote hizi ufanyika katika kituo cha kupigia kura cha eneo husika, na anakuwepo msimamizi wa kituo.
2. Online Voting: Upigaji kura huu ufanyika mahali popote ambapo mpiga kura yupo, na inakubidi mpiga kura utumie simu au kifaa chochote cha internet. Hii ni aina ambayo upigaji kura wake umekuwa maarufu zaidi katika mashirika na serikalini. Ambapo kunakuwa na Website au Server maalumu ambayo mpiga kura ataingia kwa kutumia kifaa chake kisha ataweka namba yake ya uthibitisho kama ni yeye mfano namba ya mpiga kura, ya NIDA au itakayohitajika ili hasijirudie kupiga kura, kisha atapiga na kuchagua mgombea anayemtaka.
Mfumo huu kwa ujumla unafanyika katika nchi mbalimbali Duniani, mfano Marekani. Na uchaguzi wa aina hii unafaida kama kuokoa muda, kurahisisha kuhesabu kura kwa sababu mfumo wenyewe ndio unajiendesha, hivyo majibu hutoka haraka. Athari ni kama Mfumo ukizingua (machine error au server error), kushindwa kufanya kazi (shutdown, jam) , ukidukiliwa na wataalamu wa Teknolojia (hacking) kisha watu wakapanga matokeo yao. Inahitaji teknolojia ya hali ya juu kulinda upiga kura wa aina hii zidi ya mahalamia, kwa sababu mtu ambaye hajui kutumia teknolojia anaweza kuibiwa kura ambapo anayemuelekeza akapiga kwa niaba yake bila kujua, kwa sababu ni kubonyeza tu mashine au simu.
Ndio bro, soon upinzani utachukua Madaraka, ni suala la muda na naamini Mungu ata-initiate mwenyewe.ila kuna siku Mungu atawaondoa, confusion itawapata, watajiondoa wenyewe kwa wenyewe hata hawatajua wanafanya nini hadi watakapojikuta wapo ndani ya kiota.
Wadukuzi.Braza labda sio kwa Sisiem hii... Maana hata watakao tengeneza mifumo hiyo ni hao hao sisiem, kwa hiyo hawatashindwa kuikorokocha na kuweka kura zao bandia
Mkuu serikali Ya CCM ina maadui wa chini chini kutoka nchi zenye high Technology na ndo maan leo hii mkimbizi wa kisiasa ukienda nchi hizo unapokelewa sana kuliko mkimbizi wa Aina nyingine so wata'manipulate data' kutoka huko huko nje labda kama iwe ni 'offline data schedule' ...Kwa nini? Wakati unafahamu fika serikali ndio italeta hao mafundi mitambo, na kila kiongozi wa juu serikalini ni CCM... We unahisi hiyo Teknolojia wataileta hili watoke madarakani